Bei ya suti za Sheria Ngowi

Bei ya suti za Sheria Ngowi

Jibu kashapewa huko zinaanzia $1700! Cif ya Verossa hio 🙂🙂🙂
Hahaha na alternatives kapewa.

Ngoja na mimi nimpigie debe mshkaji wangu Speshoz.

1474916153966.jpg
1474916162695.jpg
1474916170504.jpg
 
Yuko wapi huyu? Bei zake? Ndio hizo zinalingana na ka Vitz kangu?

Yupo Mwenge (sina utaalamu sana wa directions) ila ukicheki Instagram page yake: Speshoz +255713911816 and +255719509813 utapata ufahamu zaidi.

And no sio wa milioni.

Utaipenda kazi yake maana yeye mwenyewe yupo hapo atakupokea na atakuonesha aina zote za vitambaa and you can talk kabisa unachotaka, aweke nini, atoe nini, etc etc...

Unashonewa na unakuja for fitting kabla ya kuja kuichukua nguo yako officially so that usijekuwa na malalamiko baadaye.

And the fact kwamba it's a Tanzanian business just adds to the reason why I go to him (yes, I can't afford the million tshs suits)..but he is really good!!!!

Try him...
 
Ngoja nimcheki Mkuu.
 
Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
Mkuu mbona unajiamini sana mpaka unanivuta nikutafute nipe bei
 
Hata huyo nae bado sanaaa hebu cheki hilo koti yaani haliko balanced kabisa!! Sijui shida nini!!

View attachment 408459

Mkuu...hiyo suti nimefanya fitting personally! Labda useme camera quality na kwa vile nimeipiga ikiwa kitandani.

eniwei kama picha zangu hazijakushawishi nenda page yao ya instagram kama ukikuta haziko balanced pia nitakubali!!!

NB: nani amekuambia mwili wangu uko balanced..huenda ameshona kuendana na mwili wangu na imbalances zake, hahah!!
 
Ahahahahah nimependa hiyo para ya mwisho!!

Kwa kuiona tu hiyo suti haina viwango kabisa!!

All in all kwa gharama za hawa watengenezaji wanyumbani ni heri ununue za Ulaya aisee
 
Halafu wewe unayesema life la mwenzio bado lipo kwenye kuhemea kula hapo juu unajisifu una kiatu hakijachania soli mwaka wa 7 sasa na wewe unajiweka kwenye kundi la watu wenye maisha bora au bora maisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wenye maisha bora[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?

Hili ndilo tatizo kubwa la watanzania kutokuelewa swali then mtu anajibu.....haraka ya nini? Jibu swali uliloulizwa siyo mazungumzo baada ya habari.
 
Back
Top Bottom