Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Laki tano suti moja? Yaani koti tu na suruali? Mmmmmm mbona ukiwa na laki unashona siyi tena inatoka vizuri tu
Aisee ukitoa hiyo laki tano ni viatu tu ndo hupati...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki tano suti moja? Yaani koti tu na suruali? Mmmmmm mbona ukiwa na laki unashona siyi tena inatoka vizuri tu
Mie mbavu cna wahaya banaKwahiyo huwa unaweka unaagiza toka Italy/UK moja kwa moja
Jibu kashapewa huko zinaanzia $1700! Cif ya Verossa hio 🙂🙂🙂
Zina free WiFi haha by the way suti ya kushona haiwez kuwa sawa na ya dukan coz unashonewa unavotaka na customs made
Harafu kama ni mzuri wa kuchagua size zako unaweza toka bomba ile mbaya kuliko hizo za malaki matano na kuendelea!!
Hii ndio be ghari.?
It's cheap kwa nani?Yeap naagiza au nikienda nanunua. its cheap,suit nzuri GBP 100-150, unavizia SALE.
Tunazipataje hizo suti za Ulaya?Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
Tununue suti za Ulaya, tuko Ulaya hapa? Thread inahusu suti za Sheria Ngowi. Which means tunaongelea Tanzania. Ukisema duka liko Ulaya tuambie tunazipate au tunafikaje huko Ulaya?Kuliko kununua ule uchafu kwa gharama zile ni heri ununue suit kali za ulaya tu ijulikane moja
Suit hazi balance kabisa!!
Ninao hawa leo.mkuu Tindikali naona umeamua kuja kupitisha kifimbo cheza kwenye nyanja zote...endelea mkuu!
Unawaambia tu kiuno 34, inakuja suruali na koti utafikiri walikupima!
Sana aisee.... yaani wewe ni size tuuu kwisha kazi...
Mi huwa nawashauri watu kuliko kununua uchafu kwa bei kubwa heri waagize tu ulaya
Bei ya suti nnayovaa nikikutajia utaumia bure moyo....
Ila jua tu hizo suti za elf 70 ni china tuu na hazina quality kabisaaa.... but kwa wanaoanza maisha si mbaya!!
Ya mtumba ni nzuri kwasabababu kwenye mtumba ndio unapata originals.
Ninao hawa leo.
Wana exposure ya kukaa kaa nje na kujua majina ya maduka, na wamesoma soma lakini wamejaa generalizations, hawajui kabisa kwao Tanzania kuna raia wa makundi gani ya vipato. Totally out of touch. Ngoja niwawahi kabla sijafungiwa.
Kazi ipo kwako kuhakikisha ina ubora. Au nimesema kwasababu ya mtumba unabeba tu?"Original" ambayo ni mtumba is not necessary bora zaidi. Inaweza kuwa imeanza kupauka pauka na kuwa frayed on the edges.
Hakuna formula inayosema suti ya mtumba au ya kupima au ya kununua dukani kwa bei fulani ndio bora zaidi.
Wewe sio mimi, mimi ndio ninavyofanya. Nishataja maduka huko juu sina sababu ya kurudia.Toka lini ukataja size ya kiuno tu halafu ukajulikana automatically una mabega size gani, mapaja, upana wa kifua, shingo, in-seam (urefu wa eneo la uume), urefu wa mikono....?
Duka gani hilo au fundi gani huyo? Si ndio kamba hizo sasa tunazozikataa?
Its cheap kulinganisha na za Sheria Ngowi zinazozungumziwa kwenye hii mada. Hivi nimekwambia mimi ni makini,mwelewa?Its cheap kwa nani?
Mtu makini, muelewa, hasemi jumla jumla tu British pound 150 "its cheap." Kuna watu ambao hawana access au uwezo wa kwenda au kuagiza suti ya pound 150. Cheap ni kitu ambacho kiko chini ya ordinary market price, kama suti ya 70,000/=