Bei ya tango sokoni imekuwa kubwa

Bei ya tango sokoni imekuwa kubwa

tango changanya na embe dodo OG hizi za msimu wa mwenzi wa 12 saga tengeneza JUISI
zinaongeza NGUVU mara dufu ya NGUVU ZA KIUME inakupa hamu na uwezo wa kurudia TENDO hadi mara 3 na zaidi kwa usiku mmoja
ndo unaona adimu sana kuanzia mwezi wa 11 mwishoni mpk hii januari msimu wa Embe unaishia
 
Watu wanatumia Tango kitungu maji na mboga na matunda mengine kurekebisha kiwango cha sukari,Presha n.k ni azima liadimike

Pia vibanda vya chipusi vimekua vingi sana mitaani, Kachumbari za matango zimekuwa kama gold so lazima matango yaadimike.
 
Mnaanzaga hivi mara mmeshakua watoto wa watu, pumbavu, hamjui kuna kipindi cha msimu bei za mboga mboga hupanda na kuadimika na kipindi bei hushuka sana
 
Back
Top Bottom