Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

Status
Not open for further replies.
Ki uhalisia ilitakuwa kushuka badala ya kupanda. Bwawa la Mwalimu Nyerere linalenga kushusha bei na kuongeza ufanisi kwenye uzalishaji na huduma, wewe hulioni hili wakati mtoto wa grade IV analiona?
Mnachelewesha bwawa hilo la umeme ili mpige sio?
Halafu kuna wale wanaojiunganishia umeme au kucheza na LUKU na kupata units kutoka kwa wanunuzi wengine, je wewe ni mmoja wao?
 
Ila JPM hakika alikuwa raisi wa wanyonge.

Kila kitu kikipanda sasahivi jibu ni vita ya urusi na ukraini..hata wale wa tuma na yakutolea nao wameongeza bei ukiwauliza kwanini wanajibu vita vya urusi na ukraini.
 
Umeme unasafiri kwa kutumia mafuta. Magari ndio yanabeba umeme kuleta hapo kwako.
 
Mama na Waziri wake wanaupiga mwingi sana.
 
Maana yake imeongezeka 160 nzima
 
badala ya kujadili vitu muhimu kama hivi wabunge wa CCM wameishia kupiga sarakasi na kufanya vioja vingine ndani ya bunge, huku spika, Waziri mkuu na wazari wengine wakicherekea
 
Ni Ili shirika lijiendeshe au ni posho ziongezeke?

Ongezeko la mshahara lilikuwa kiini macho.
 
ILI ISISUMBUE CHEJI BEI INGEKUWA SH.1000 kwa UNIT

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mbona hii muda mrefu sana! Mwezi uliopita nimenunua umeme wa sh 9000 nimepata unit 25. Nilidhani masikhara sikuamini amini yaani.
Weka screenshot ya umeme ulionunua alafu nikuambie unit moja ilikua sh ngapi. Ili tusibishane sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…