Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

Bei ya Umeme yapanda. Naipongeza Serikali kwa kuliona hili bei ilikuwa ndogo sana

Status
Not open for further replies.
Mleta mada huenda ndio umeanza kujitegemea, lakini hiyo ndio bei ya kawaida ya unit moja ya umeme.
 
Kwahiyo unalinganisha Tanzania na Marekani.!? Tanzania kuna vichaa wengi wa akili
Kama hutaki bei hiyo, hamia Burundi. Unadhani gharama za mikutano, warsha na safari za nje zitalipwa na nani.
 
Umeme tunauza Bei chini sana, tofauti na Marekani Bei yao ni kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom