I see!!!Huko mnakosemea hizo bei ni wapi wakuu?
Frankly Bati ya Galco na nondo zinapanda kila kukicha but noti tu zati eksitenti.
Kilombero Moro hapa Cement ni 13,500=nondo ya 12mm ni 20,000=ya 10mm ni 14,000= Bati ya Galco/Simba 10ft ni 20,000= na 8ft ni 17,000= Msumari wa Bati ni 5,000=per Kg,wa Ceilling Board ni 4,500=. Wire Nails ya kawaida ni 3,000= per Kg.
What do you see?...I see!!!
Ma QueenWhat do you see?...
HahahaaaMa Queen
Come (komu) plzHahahaaa
Coming right now....Come (komu) plz
Mkuu upo mkoa gani? Dasalama huku cement ni 9,500 - 11,500 kutegemea na product name...Nimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu
Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/=
Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/=
Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni 20,000/=
Mtaani kwako vifaa vya ujenzi vinagharama gani hebu tujuzane wana forum wenzangu.
Wafanyabiashara wanasema,wanadhani wiki Kesho itaongezeka tena.
[emoji61]Coming right now....
Wew uko mkoa gan?Huku niliko iko hiv
Cement 25,000
Nondo 20,000
Bati 25,000