Mwatulole
Member
- Oct 16, 2017
- 54
- 191
Nimesikitishwa sana na Bei vifaa vya Ujenzi Kupanda maradufu
Cement iliyokuwa Elfu 16,000 mwezi Jana Sasa ni 18,000/=
Nondo iliyokuwa 13,000/= sasa ni 17,000/=
Bati iliyokuwa 16,000/=sasa ni 20,000/=
Mtaani kwako vifaa vya ujenzi vinagharama gani hebu tujuzane wana forum wenzangu.
Wafanyabiashara wanasema,wanadhani wiki Kesho itaongezeka tena.