INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

mzee msoko

Senior Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
113
Reaction score
220
Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16.
NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake bila kusahau access ya INTERNET kwa wale watakaohitaji. Bei zinazoonekana hapo chini ni pamoja na INSTALLATION (UFUNDI)

Tuwasiliane kupitia 0742737142 au 0624066848

Attachments

  • 1679336486252.jpg
    87.5 KB · Views: 56
Je, hizo gharama zinabeba pia installation?
 
Mikoa jirani na Dar; mfano Morogoro, Tanga, Dodoma na Pwani mnafika kwa utaratibu upi?
1.Tunafanya mawasiliano kisha kupata maelewano ya kufika SITE,then ntafika site kuangalia ramani na kukushauri ufunge camera zipi pamoja na kupiga tathmini ya kazi. Kitakachofuata ni wewe kutoa GO AHEAD ya kuanza kazi.

2.Unatujulisha idadi ya camera unazohitaji,sisi tutafika site moja kwa moja na kuanza kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…