Najua unauliza swali hili kwa mtego nami nakupa majibu yafuatayo
1.Seti zangu natumia camera za Dahua 1080p na HIKVISION 1080p zote zikiwa colorvue iwe ya sauti au normal bei yangu ya installation ni moja.
2.DVR natumia 1080p ya DAHUA pekee because iko na smart view, simple to use kwa wateja wangu, better maintenance na HD camera appearance bila shida yoyote [emoji817]
3.Natumia camera zenye quality ya 1080p, zooming up to 3.8mm,iwapo mteja akitaka kubadili nafunga 5mp zooming up to 13.8mm
4.Seti ya camera 8 naweka 2tb hard disk kwa ajili ya kupata taarifa za muda mrefu.
BADO UNA SWALI MR RASTA?