mzee msoko
Senior Member
- Jan 30, 2020
- 113
- 220
- Thread starter
- #141
WI-FI SMART CAMERA ni camera ambayo inazunguka 360°nyuzi pande zote juu na chini,ikiwa na uwezo wa kuwasha taa na kuzima kupitia App yake.Samahani , .naomba kuelezewa hapa hizo Wi-Fi bulb zinaoperate vipi
Je gharama zake ? Je mkoani nazipataje ?
Asante mzee msoko
Camera hii unaweza kuitumia ukiwa eneo husika ulilofunga camera ama ukiwa mbali na eneo ilipo camera.
Ili kuweza kutumia wi-fi smart camera itakulazimu uwe na ROUTER ya 4g ambayo itakuwezesha kutumia camera yako bila shida.
Gharama ya seti nzima ni 220,000/=
Delivery ipo pasina shaka.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app