HDD zinatofautiana kuendana na muhusika anahitaji atunze matukio yake kwa muda gani,mfano WIKI,MWEZI,MWAKA vyote vinawezekana.
Pili, CCTV camera zinafanya kazi 24hrs,kuzima kwake ni mpaka kuwe na shida ya umeme kwenye power supply inayopeleka moto kwenye camera.
Mwisho, umeme ukikata camera zitasimama kwa muda kusubiri urejee tena lakini mteja anatakiwa awe na option ya kufunga POWER BACKUP kwa ajili ya kumsaidia wakati umeme umekata anakuwa na uwezo wa kuzifanya camera zake zirekodi kama kawaida wakati ambapo anasubiri umeme urejee. Pia unaweza kufunga mfumo wa SOLAR kwa ajili ya kuoperate camera ili kuepusha kukosa matukio endapo umeme unakuwa hakuna.
Camera zinarekodi All days kutokea siku uliyofanya installation,hazina muda maalumu wa kurekodi labda tu itokee break down ya power na balloon video tampering.
Sent from my Infinix X665 using
JamiiForums mobile app