Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kukuuliza hizi zinarekodi au mpaka uwe na wifi?Najua unauliza swali hili kwa mtego nami nakupa majibu yafuatayo
1.Seti zangu natumia camera za Dahua 1080p na HIKVISION 1080p zote zikiwa colorvue iwe ya sauti au normal bei yangu ya installation ni moja.
2.DVR natumia 1080p ya DAHUA pekee because iko na smart view, simple to use kwa wateja wangu, better maintenance na HD camera appearance bila shida yoyote [emoji817]
3.Natumia camera zenye quality ya 1080p, zooming up to 3.8mm,iwapo mteja akitaka kubadili nafunga 5mp zooming up to 13.8mm
4.Seti ya camera 8 naweka 2tb hard disk kwa ajili ya kupata taarifa za muda mrefu.
BADO UNA SWALI MR RASTA?
Ina maana bila wifi hazifanyi kazi?Unasajili laini na kuweka bando then unaweka laini kwa router,yenyewe automatic itagawa wi-fi kwenda kwa DVR
Zinarekodi zenyewe bila shida,wifi ni kwa ajili ya kupata access kwa simuHiyo namba mbili
No,zinafanya kazi vizuri tu, WI-FI lengo ni kupata access ya camera zako kupitia simu au laptop wakati ambao uko mbali na eneo ulilofunga cameraIna maana bila wifi hazifanyi kazi?
Embu nieleweshe hapo.
Ninaweza kuwa mteja wako.
NzuriZinarekodi zenyewe bila shida,wifi ni kwa ajili ya kupata access kwa simu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
cc PalinaKamera moja itabidi nikufungue ile ya bulb,lakini kama ukihitaji nje na ndani tunafunga mbili kwa sababu nitaunganisha kupitia DVR (DIGITAL VIDEO RECORDING)View attachment 2575831
Ya chip ambayo ni 4g lite ipo ya 150,000, 180,000/= na 230,000/= ipo ya modem pia nayo ni 135,000/=View attachment 2627345View attachment 2627347View attachment 2627346Rooter pekeee sh ngap
Ipo ile ya kuconnect kwenye DVR zile normal sinaUnazile ndogo za Siri how much ambayo unaseti kwenye simu unaona vitu vyote kwenye simu
Unawatandika alooYa chip ambayo ni 4g lite ipo ya 150,000, 180,000/= na 230,000/= ipo ya modem pia nayo ni 135,000/=View attachment 2627345View attachment 2627347View attachment 2627346View attachment 2627348
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nashukur mkuu kwa ujumbe wako,unaweza kuuza hata wewe pia.Unawatandika aloo
Wachape baba,Kila mutu inakula ofinini yake!Nashukur mkuu kwa ujumbe wako,unaweza kuuza hata wewe pia.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app