INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Mzigo mpya umewasili tayari?
Mzigo wa kwanza umefika ila una IP CAMERA,ANALOG CAMERA, BIOMETRIC ATTENDANCE na HIDDEN za analog pia. Soon mzigo mwingine unaingia feedback utaipata hapahapa mkuu
IMG-20230519-WA0004.jpg
images%20(55).jpg
7f69c618fc3be16ca92de897bb0bd40a.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo router Inatumia Mfumo Gani Kuunganisha Mawasiliano Na Simu,
Wifi au Internet au Inakuwaje Naomba Maelezo Boss
 
Kama una karasha za dhahabu,migodi ya kokoto usisite kuwasiliana nasi kwa huduma bora ya cctv camera na alarm detection sensor
IMG_20230526_152444_761.jpg
IMG_20230526_152445_24.jpg
IMG_20230526_152500_786.jpg
IMG_20230526_152507_305.jpg
IMG_20230526_152501_759.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20230526_152501_758.jpg
    IMG_20230526_152501_758.jpg
    79.7 KB · Views: 20
Habari za leo
Kuanzia tarehe 10 JUN 2023,RJ SECURITY SYSTEMS itaanza kutoa maelezo ya kina juu ya vifaa vyote vya ulinzi ikiwemo namna ya kuchagua bidhaa bora,kuielewa bidhaa kabla ya kuamua kununua au kufunga (installation) na matumizi ya bidhaa husika.
Mada zetu zitahusu nyanja zifuatazo
✓CCTV CAMERA
✓ELECTRICAL FENSE
✓BIOMETRIC ATTENDANCE & ACCESS CONTROL
✓ALL ALARM SECURITY SYSTEMS
✓NETWORK INSTALLATION
✓GATE MOTORS
✓PRIVATE BRANCH EXCHANGE (PBX)
✓NVR & DVR FIRMWARE VERSION UPGRADE
Logopit_1685460445398_1.jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu,leo nimewaletea bei ya seti upande wa CCTV camera kuanzia 4 mpaka 16.
NB: Kila seti imebeba vifaa vyote vinavyohitajika kukamilisha mfumo wa CCTV ikiwemo na Monitor ndani yake bila kusahau access ya INTERNET kwa wale watakaohitaji. Bei zinazoonekana hapo chini ni pamoja na INSTALLATION (UFUNDI)

Tuwasiliane kupitia 0742737142 au 0624066848

View attachment 2575536View attachment 2575538View attachment 2575539View attachment 2575542View attachment 2575540View attachment 2575541View attachment 2575544View attachment 2575546View attachment 2575545View attachment 2575547View attachment 2575548
Naomba kuuliza CCTV camera HDD Ina uwezo wa kutunza taarfa Kwa Dak ,Mwezi au masaa mangapi?
Pili CCTV camera zinazima baada ya mda gani au kunawezatokea hitilafu zikajizima zenyewe?
Je umeme ukikatika zitaendelea kuchukua tukio?
Ni Kwa wakati gani zinazima au utawasha through out years???
 
HDD zinatofautiana kuendana na muhusika anahitaji atunze matukio yake kwa muda gani,mfano WIKI,MWEZI,MWAKA vyote vinawezekana.

Pili, CCTV camera zinafanya kazi 24hrs,kuzima kwake ni mpaka kuwe na shida ya umeme kwenye power supply inayopeleka moto kwenye camera.

Mwisho, umeme ukikata camera zitasimama kwa muda kusubiri urejee tena lakini mteja anatakiwa awe na option ya kufunga POWER BACKUP kwa ajili ya kumsaidia wakati umeme umekata anakuwa na uwezo wa kuzifanya camera zake zirekodi kama kawaida wakati ambapo anasubiri umeme urejee. Pia unaweza kufunga mfumo wa SOLAR kwa ajili ya kuoperate camera ili kuepusha kukosa matukio endapo umeme unakuwa hakuna.

Camera zinarekodi All days kutokea siku uliyofanya installation,hazina muda maalumu wa kurekodi labda tu itokee break down ya power na balloon video tampering.

Balbu zenye kamera inayokuwa pekee yake unauzaje ? Je mzigo kwasasa unao ?
 
Back
Top Bottom