INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Samahani , .naomba kuelezewa hapa hizo Wi-Fi bulb zinaoperate vipi

Je gharama zake ? Je mkoani nazipataje ?

Asante mzee msoko
WI-FI SMART CAMERA ni camera ambayo inazunguka 360°nyuzi pande zote juu na chini,ikiwa na uwezo wa kuwasha taa na kuzima kupitia App yake.
Camera hii unaweza kuitumia ukiwa eneo husika ulilofunga camera ama ukiwa mbali na eneo ilipo camera.

Ili kuweza kutumia wi-fi smart camera itakulazimu uwe na ROUTER ya 4g ambayo itakuwezesha kutumia camera yako bila shida.

Gharama ya seti nzima ni 220,000/=

Delivery ipo pasina shaka.
images%20(74).jpg

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
WI-FI SMART CAMERA ni camera ambayo inazunguka 360°nyuzi pande zote juu na chini,ikiwa na uwezo wa kuwasha taa na kuzima kupitia App yake.
Camera hii unaweza kuitumia ukiwa eneo husika ulilofunga camera ama ukiwa mbali na eneo ilipo camera.

Ili kuweza kutumia wi-fi smart camera itakulazimu uwe na ROUTER ya 4g ambayo itakuwezesha kutumia camera yako bila shida.

Gharama ya seti nzima ni 220,000/=

Delivery ipo pasina shaka.View attachment 2678321

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Set nzima inakuwa imebeba vitu gani mkuu?
 
UPDATE YA BEI MPYA YA CCTV ANALOGY (DVR) INSTALLATION
Kuanzia leo tarehe 4JULY 2023, RJ SECURITY SYSTEMS tunapenda kuwajulisha wateja wetu discount kwenye upande wa kufunga kamera za ulinzi.

Bei hizi zinajumuisha VIFAA vyote vya mfumo wa camera, ROUTER kwa ajili ya kuangalia matukio kwenye SIMU na Gharama za UFUNDI.

SETI YA CAMERA NNE (4)
850,000/=

SETI YA CAMERA NANE (8)
1,300,000/=

SETI YA CAMERA 16 (16)
1,950,000/=

NB: Wateja wa mikoani gharama za kufika SITE ni za mteja mwenyewe.
 
Attachments

  • Logopit_1687615720886.jpg
    Logopit_1687615720886.jpg
    61.9 KB · Views: 25
  • Logopit_1685892722468.jpg
    Logopit_1685892722468.jpg
    109.9 KB · Views: 26
Nahitaji kamera moja nifunge dukani kwa mkewangu bila mwenyewe kujua je ni bei gani
 
Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii

Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
 
Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii

Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Mbona siku hizi bei zimeshuka sana.
 
Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii

Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Na kwanini usinunue huko alibaba??
Alibaba kitu unakuta kinauzwa 10$, ila kukisafirisha unakuta 20$. Ukifika TZ kuna TRA wanakusubiri.

Kusema kitu alibaba kinauzwa bei rahisi sio hoja ya kuzingatiwa, hoja ni kinagharibu bei gani hadi kinapofika mkononi mwako.
 
Hiyo router inafanya kazi Kwa camera ngapi? au kila camera na router yake
Haibagui idadi ya camera ulizofunga,yenyewe ina operate idadi ya camera ulizonazo na wakati huo unaweza itumia kama personal Wi-Fi
 
Moja ya biashara ambayo wateja tunapigwa sana ni hii

Jaribuni kupita Alibaba muone hizo Camera zinauzwaje ndio mtajua jinsi gani hawa jamaa wanatuibia aisee
Agiza mzigo uingize nchini kwanza,then urudi kuleta feedback hapa
 
Saa za ukutani zenye camera unazo?
Kwa sasa nilistop kuzileta sababu nyingi zinakuwa hazina straight network na kufanya mtumiaji ashindwe kutumia kwa uhuru. Nyingi wameandika zinapokea 4g vizuri lakini kwa setup zake ina command utumie 2g/3g pekee
 
Back
Top Bottom