INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

Yaani nilitaka kujua iwapo nitawahitaji mje Tanga, Morogoro, au Dodoma kunifungia hizo camera! Mfano hiyo yenye camera 4; nitatakiwa kugharamia nauli zenu na malazi?
 
Yaani nilitaka kujua iwapo nitawahitaji mje Tanga, Morogoro, au Dodoma kunifungia hizo camera! Mfano hiyo yenye camera 4; nitatakiwa kugharamia nauli zenu na malazi?
Utahusika upande wa nauli ya kuja site pamoja na malazi,upande sisi kurejea ofisini utakuwa juu yetu
 
1.set zako unatumia camera brand gani?
2.DVR ni brand gani?
3.specs za camera unazotumia ni zipi?
4.Hard drive unaweka ya ukubwa gani kwa set ya camera 8?
Tuanzie hapo then mengine yatafata
 
1.set zako unatumia camera brand gani?
2.DVR ni brand gani?
3.specs za camera unazotumia ni zipi?
4.Hard drive unaweka ya ukubwa gani kwa set ya camera 8?
Tuanzie hapo then mengine yatafata
Najua unauliza swali hili kwa mtego nami nakupa majibu yafuatayo
1.Seti zangu natumia camera za Dahua 1080p na HIKVISION 1080p zote zikiwa colorvue iwe ya sauti au normal bei yangu ya installation ni moja.

2.DVR natumia 1080p ya DAHUA pekee because iko na smart view, simple to use kwa wateja wangu, better maintenance na HD camera appearance bila shida yoyote [emoji817]

3.Natumia camera zenye quality ya 1080p, zooming up to 3.8mm,iwapo mteja akitaka kubadili nafunga 5mp zooming up to 13.8mm

4.Seti ya camera 8 naweka 2tb hard disk kwa ajili ya kupata taarifa za muda mrefu.

BADO UNA SWALI MR RASTA?
 
[emoji23] kwanini uhisi mtego na kazi umetangaza wewe ila hizo taarifa hukuwa umeweka na wala picha ulizoweka hazioneshi hiki ulichonijibu?
Kama tangazo lako na hiki ulichonijibu havipishani,nitakutafuta kwa ajili ya kazi.
Pole kwa maswali mkuu
 
[emoji1][emoji1][emoji1]sina shaka na wewe mkuu,nitajitahidi tangazo lijalo nitakuwa nimeorodhesha details zote juu ya mfumo wa CCTV CAMERA ili kila mmoja atambue kuhusu mfumo huu wa ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…