BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
1. Suruali = 3000/=
2. Shati = 3000/=
3. Pensi = 2000/=
3. tisheti = 3000/=
4. vest = 2000/=
5. koti = 5000/=
6. shuka = 4000/=
Bei zote in TZS according to March 2016, kwa sasa sijui!
Kumbe mnaoa ili mfuliwe?Duuu mkuu si bora aoe 2
1. Suruali = 3000/=
2. Shati = 3000/=
3. Pensi = 2000/=
3. tisheti = 3000/=
4. vest = 2000/=
5. koti = 5000/=
6. shuka = 4000/=
Bei zote in TZS according to March 2016, kwa sasa sijui!
Mwanamke kwangu mm anatakiwa anifanyie mambo yote yeye si pambo la nyumba yangu mgegedo kufua na kupika na kunizalia watoto ana kazi zingine.Kumbe mnaoa ili mfuliwe?
Afu ye anapata nini kutoka kwako?Mwanamke kwangu mm anatakiwa anifanyie mambo yote yeye si pambo la nyumba yangu mgegedo kufua na kupika na kunizalia watoto ana kazi zingine.
umeonaeeeee shostiKumbe mnaoa ili mfuliwe?
Ili mfuliwe! Daaah. Kiswahili hili.umeonaeeeee shosti
Yani hawa watu mmhumeonaeeeee shosti
Dyudyu!Afu ye anapata nini kutoka kwako?
Kuna faida nyingi za kuoa kufuliwa na ni mojawapo ya faidaKumbe mnaoa ili mfuliwe?
Hilo dudu lina nini hasaDyudyu!
Mnapatikana wapi mkuu?BEI INATEGEMEA UNA NGUO KIASI GANI ILA KAMA UNALETA MFANO NGUO MOJA UTAFANYIWA REJA REJA
1.SHATI/FULANA 500
2.SHUKA 1000
3.BRANKET 2000 HADI 2500
4.SURUALI 700
ILA NGUO UKILETA NYINGI KUNA PUNGUZO UNAPATA