Bei za kufulia nguo jijini Dar es Salaam

Bei za kufulia nguo jijini Dar es Salaam

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wadau,

Ningependa kufahamu gharama za kufulia nguo kwa jijini dar es salaam ni sh ngapi kwa:
1. Suruali
2. Shati
3. Pensi
3. tisheti
4. vest
5. koti
6. shuka

Je, bei ipi itakuwa affodable kwa wanafunzi wa chuo kwa kila nguo?

Asanteni
 
1. Suruali = 3000/=
2. Shati = 3000/=
3. Pensi = 2000/=
3. tisheti = 3000/=
4. vest = 2000/=
5. koti = 5000/=
6. shuka = 4000/=

Bei zote in TZS according to March 2016, kwa sasa sijui!
 
Labda yuko busy... Anataka kurahisisha mambo... Hata hivyo siku hizi hamna kuoa kuna kuolewa tu. Mwanaume utahangaika kumtafuta mdada mwisho wa siku anageuka shuruba ndani... Umpe chakula, malazi, haki zote, na bado hakufulii.
 
1. Suruali = 3000/=
2. Shati = 3000/=
3. Pensi = 2000/=
3. tisheti = 3000/=
4. vest = 2000/=
5. koti = 5000/=
6. shuka = 4000/=

Bei zote in TZS according to March 2016, kwa sasa sijui!

hii bei kwa mwaka mara mia mtu anunue laundry mashine tu afue mwenyewe.
kufua shuka 4K huku mtumbani hiyo ni bei ya shuka jingine.
 
Duh!! Yaani bei ya kufua suruali inalingana na bei ya kununulia suruali yenyewe....!!!
 
BEI INATEGEMEA UNA NGUO KIASI GANI ILA KAMA UNALETA MFANO NGUO MOJA UTAFANYIWA REJA REJA

1.SHATI/FULANA 500
2.SHUKA 1000
3.BRANKET 2000 HADI 2500
4.SURUALI 700

ILA NGUO UKILETA NYINGI KUNA PUNGUZO UNAPATA
 
BEI INATEGEMEA UNA NGUO KIASI GANI ILA KAMA UNALETA MFANO NGUO MOJA UTAFANYIWA REJA REJA

1.SHATI/FULANA 500
2.SHUKA 1000
3.BRANKET 2000 HADI 2500
4.SURUALI 700

ILA NGUO UKILETA NYINGI KUNA PUNGUZO UNAPATA
Mnapatikana wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom