Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 445
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
kwahicho kiasi cha pesa nakushauri ujenge nyumba kadhaa kwan nyumba ndo biashara pekee isiyoumiza kichwa
Marcopolo 700Mil
Youtong 250 - 300 mil
Marcedes 800 Mil
Nakushauri nunua youtong, hela yako itarudi mapema.
Kwa hiyo budget sidhan kama utaweza hii biashara kwasababu utatakiwa kulipa insuarance ambayo si ya kitoto, kuna vipesa vitakutoka hapo vingivingi.
Kwa hiyo pesa nakushauri ununue Min buses za TATA au EICHER kama ma4 hivi yanauzwa 70Mil. Upige rote za mbezi - kkoo au mbezi - mwenge. Kwa mwaka unarudisha hela yako na mtaji utakuwa mkubwa na utakuwa umepata experience ya jinsi ya kufanya biashara ya mabus.
kilimo tanzania ni ugonjwa wa moyo. mvua sio ya uhakika na kilimo cha umwagiliaji kinafaa lakini maeneo yanayofaa usafiri ni tabu tupunenda kilombero kalime
brother si kila mwenye kiasi fulani cha fedha anajua kila kitu. actual isingeshindikana kujua lakini ukiuliza JF hupewi tu jibu unalotaka bali na changamoto za kitu unachoulizia. Humu ndani kuna watu wana experience za ajabu na wamejificha kwenye fake IDsHizo 370mil umezipataje? Sidhani mtu mwenye uwezo wa kupata mil 370 ashindwe kujua bei za yutong au Scania Marcopolo...Biashara ya magari kichaa
Mkuu una milion 370 unaogopa usafiri au una maanisha miundo mbinu???!!kilimo tanzania ni ugonjwa wa moyo. mvua sio ya uhakika na kilimo cha umwagiliaji kinafaa lakini maeneo yanayofaa usafiri ni tabu tupu
nunua yutong moja ya about 225 millions alafu kopa nyingine moja ziwe mbili. nenda mikocheni kuna dealer wa yutong kama sikosei ni BENBROS
Km ndio hapa Dodoma - Manyoni na Singida Mvua hakuna na alikuwepo maehemu HOYA wa Mshikamano huenda ndio KIFO kilimuita hawa kina TAMANYINGI (RIP) walidfilisikia hapa mvua za msimu ni noma BORA WAHAMIE Arusha au Yaeda chini kwenye Kilimo cha umwagiliajiKilimo kinalipa. Kuna jamaa mmoja kaanzisha mradi mkubwa wa shamba eneo kati ya Manyoni na Singida. Alikuwa tajiri mmliki mabasi, akauza, akawekeza ardhini!
Km ndio hapa Dodoma - Manyoni na Singida Mvua hakuna na alikuwepo maehemu HOYA wa Mshikamano huenda ndio KIFO kilimuita hawa kina TAMANYINGI (RIP) walidfilisikia hapa mvua za msimu ni noma BORA WAHAMIE Arusha au Yaeda chini kwenye Kilimo cha umwagiliaji
Biashara ya Basi inalipa kila siku lakini hii mvua ya kusubiri mbegu huuungulia chini ya ardhi
Achana na biashara ya magari,mtaji wako ni mdogo sana au suibiri maradi wa DART ukianza utanunua HISA zako kwenye makampuni ya usafiorishaji.Kwa kuanzia walau uwe na basi ata nne ili mbili zikipanda na mbili zionashuka,hapo itaiona hela.Otherwise subiri maumivu.Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha
Km ndio hapa Dodoma - Manyoni na Singida Mvua hakuna na alikuwepo maehemu HOYA wa Mshikamano huenda ndio KIFO kilimuita hawa kina TAMANYINGI (RIP) walidfilisikia hapa mvua za msimu ni noma BORA WAHAMIE Arusha au Yaeda chini kwenye Kilimo cha umwagiliaji
Biashara ya Basi inalipa kila siku lakini hii mvua ya kusubiri mbegu huuungulia chini ya ardhi
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
Kitu ambacho hatujafahamishwa vema, bei halali ya Yutong hadi inatembea barabarani ni Tsh ngapi? Hapa tunaulizia Yutong jipya kabisa engine mbele!
sijaona hata mmoja anaetoa mchanganuo hilo basi YUTONG litakuwa linaingiza pesa kiasi gani kwa siku/wiki/mwezi/mwaka
litatumia matairi mangapi kwa mwezi/mafuta/mishahara ya madereva na utingo/matengenezo/insurance etc
angalia usiwekeze 300m ili upate LAKI SABA kwa siku!
Hawa Master Fabricators nawakubali sana. Jamaa ni hodari sana katika kutengeneza bodi za mabasi. Wana ubunifu wa hali ya juu sana. Wengine wanaojitahidi Kenya ni Choda Fabricators na Malva. Tanzania kuna Dar Coach Builders ambao wanakuja juu kwa kasi sana.