Bei za mabasi

Bei za mabasi

Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE

Kilimo kinalipa. Kuna jamaa mmoja kaanzisha mradi mkubwa wa shamba eneo kati ya Manyoni na Singida. Alikuwa tajiri mmliki mabasi, akauza, akawekeza ardhini!
 
kwahicho kiasi cha pesa nakushauri ujenge nyumba kadhaa kwan nyumba ndo biashara pekee isiyoumiza kichwa

Ila ndio akubali sasa kuweka nyumba benki then avute mkopo afungue biashara nyingine hapo atatoboa lakini kwa kodi ya kusubiri unless apate shirika wanaolipa kwa miaka miwili au mitatu kwa mkupuo!!!!!
 
Yutong agent ni cmc, unaweza kuagiziwa direct from china. Ushauri wangu nunua ud nissan ndio durable, yutong zinalast 2yrs. Kama jasili nikupe chasis with duetz engine brand new. Body dar coach 70mil. Check me on 0767386011 kesho nitakuwa arusha stereo hotel
 
Marcopolo 700Mil

Youtong 250 - 300 mil

Marcedes 800 Mil

Nakushauri nunua youtong, hela yako itarudi mapema.

Kwa hiyo budget sidhan kama utaweza hii biashara kwasababu utatakiwa kulipa insuarance ambayo si ya kitoto, kuna vipesa vitakutoka hapo vingivingi.

Kwa hiyo pesa nakushauri ununue Min buses za TATA au EICHER kama ma4 hivi yanauzwa 70Mil. Upige rote za mbezi - kkoo au mbezi - mwenge. Kwa mwaka unarudisha hela yako na mtaji utakuwa mkubwa na utakuwa umepata experience ya jinsi ya kufanya biashara ya mabus.

thanks bro
 
Hizo 370mil umezipataje? Sidhani mtu mwenye uwezo wa kupata mil 370 ashindwe kujua bei za yutong au Scania Marcopolo...Biashara ya magari kichaa
brother si kila mwenye kiasi fulani cha fedha anajua kila kitu. actual isingeshindikana kujua lakini ukiuliza JF hupewi tu jibu unalotaka bali na changamoto za kitu unachoulizia. Humu ndani kuna watu wana experience za ajabu na wamejificha kwenye fake IDs
 
kilimo tanzania ni ugonjwa wa moyo. mvua sio ya uhakika na kilimo cha umwagiliaji kinafaa lakini maeneo yanayofaa usafiri ni tabu tupu
Mkuu una milion 370 unaogopa usafiri au una maanisha miundo mbinu???!!
Na ni wapi huko ambako kuna arrable land na hakufikiki???!!!
Kilimo is a big deal kama una mtaji huo na uko tayari kuwekeza kwa manufaa yako na kizazi chako!!!!!! Mechanized agric ni habari ya uhakika kuliko hayo mabasi mawili!!!!
 
nunua yutong moja ya about 225 millions alafu kopa nyingine moja ziwe mbili. nenda mikocheni kuna dealer wa yutong kama sikosei ni BENBROS

Kitu ambacho hatujafahamishwa vema, bei halali ya Yutong hadi inatembea barabarani ni Tsh ngapi? Hapa tunaulizia Yutong jipya kabisa engine mbele!
 
Kilimo kinalipa. Kuna jamaa mmoja kaanzisha mradi mkubwa wa shamba eneo kati ya Manyoni na Singida. Alikuwa tajiri mmliki mabasi, akauza, akawekeza ardhini!
Km ndio hapa Dodoma - Manyoni na Singida Mvua hakuna na alikuwepo maehemu HOYA wa Mshikamano huenda ndio KIFO kilimuita hawa kina TAMANYINGI (RIP) walidfilisikia hapa mvua za msimu ni noma BORA WAHAMIE Arusha au Yaeda chini kwenye Kilimo cha umwagiliaji
Biashara ya Basi inalipa kila siku lakini hii mvua ya kusubiri mbegu huuungulia chini ya ardhi
 
Mtu mwenye milion 370 bado unaongelea kilimo cha mvua wakati anatakiwa avune mara mbili kwa mwaka??????!!!!!!

Holticulture hapo ni mara tatu kwa mwaka kuvuna sasa unafananisha na habari ya kukesha kupiga grease pump na kubadili bearing??!!!!

Kazi ya basi inataka roho ngumu sio kupata mtaji na kuingia tu,anatakiwa atulize akili na aseme na moyo wake haswaa!!!!!!
 
sijaona hata mmoja anaetoa mchanganuo hilo basi YUTONG litakuwa linaingiza pesa kiasi gani kwa siku/wiki/mwezi/mwaka
litatumia matairi mangapi kwa mwezi/mafuta/mishahara ya madereva na utingo/matengenezo/insurance etc

angalia usiwekeze 300m ili upate LAKI SABA kwa siku!
 
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha
Achana na biashara ya magari,mtaji wako ni mdogo sana au suibiri maradi wa DART ukianza utanunua HISA zako kwenye makampuni ya usafiorishaji.Kwa kuanzia walau uwe na basi ata nne ili mbili zikipanda na mbili zionashuka,hapo itaiona hela.Otherwise subiri maumivu.
Ushauri wangu wekeza kwenye kilimo-tafuta trekta zako mbili na shamba ata ekari mia moja lima nyanya au vitunguu mkoani Iringa/Moro au maembe wilayani Mkuranga(waone chama cha wakulima wa maembe wanaitwa AMAGRO,wapo Urafiki staff kota.Kuna watu wanapiga hela huko vijijini sisi tupo mjini tunadanganyana,nani alitamba kama SCANDINAVIA nchi hii?yuko wapi?.Ukiwa na trekta waweza ata kuzikodisha kwa wakulima pindi unapokuwa uzitumii.Mimi ni Reseacher in Agri-Business nimebahatika kuzunguka mikoa mingi sana,najua ninachokueleza na ivyo vitu ninavyokueleza nimeishavifanyia VALUE CHAIN ANALYSIS nyingi tu.Na sasa nakwenda kufanya value chain analysis ya parachichi this week.Ukipenda ingia hapa:Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in Africa utaona business opportunities nyingi.
Note:Kama utakuwa interested na kilimo cha maembe Mkuranga-nitakuuzia ekari kama 10 ninazo.
 
Tulikuwa na biashara ya mabasi matano miaka ya tisini na mimi nikiwa kijana mdogo nilisimamia kabla ya kuja ugaibuni. Tatizo kubwa la biashara hii ni Government risk. Serikali ina panga hadi bei wakati mafuta yanaenda ma market!! biashara kichaa tafuta biashara ambayo serikali haipo au nunua machine za kuchimba mchanga ni $29,000 kwa moja itakulipa.
 
Km ndio hapa Dodoma - Manyoni na Singida Mvua hakuna na alikuwepo maehemu HOYA wa Mshikamano huenda ndio KIFO kilimuita hawa kina TAMANYINGI (RIP) walidfilisikia hapa mvua za msimu ni noma BORA WAHAMIE Arusha au Yaeda chini kwenye Kilimo cha umwagiliaji
Biashara ya Basi inalipa kila siku lakini hii mvua ya kusubiri mbegu huuungulia chini ya ardhi

Japokuwa simfahamu, lakini kilimo anachofanya ni cha kisasa. Amechimba maji ya kutosha, hategemei mvua ya msimu.
 
Mili 370 haziwezi kununua basi mbili pamoja na insurenc na gharama nyingine ndogo ndogo labda aongezee na mkopo ..
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
 
Last edited by a moderator:
Inshort yutong mpaka itembee barabarani kiasi cha 300million kinahitajika.
Kitu ambacho hatujafahamishwa vema, bei halali ya Yutong hadi inatembea barabarani ni Tsh ngapi? Hapa tunaulizia Yutong jipya kabisa engine mbele!
 
sijaona hata mmoja anaetoa mchanganuo hilo basi YUTONG litakuwa linaingiza pesa kiasi gani kwa siku/wiki/mwezi/mwaka
litatumia matairi mangapi kwa mwezi/mafuta/mishahara ya madereva na utingo/matengenezo/insurance etc

angalia usiwekeze 300m ili upate LAKI SABA kwa siku!

Hata njia ndefu ya AR-MB sidhani kama wanabaki na faida ya zaidi ya 2M?!! Sidhani.
 
Hawa Master Fabricators nawakubali sana. Jamaa ni hodari sana katika kutengeneza bodi za mabasi. Wana ubunifu wa hali ya juu sana. Wengine wanaojitahidi Kenya ni Choda Fabricators na Malva. Tanzania kuna Dar Coach Builders ambao wanakuja juu kwa kasi sana.

Arusha kuna Huge motors,wanapatikana Usa river,wanatengeneza body nzuri sana
 
Back
Top Bottom