Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 445
Hapo ndio atafilisika kabisa,
Nani kakwambia Kilimo kinalipa hapo jamaa yangu umemtupa kaburii kabisa.
hebu msaidie aje huku Dodoma kuna Mabasi ya kina Shukrani, Champion Shabibya au hata Mshikamano
cha kufanya kwa hizo 370m anunue mabasi 2 aweke Injini 2 mpya naye ajulikane mpingauonevu BUS SERVICE
Kilimo kinalipa. Kuna jamaa mmoja kaanzisha mradi mkubwa wa shamba eneo kati ya Manyoni na Singida. Alikuwa tajiri mmliki mabasi, akauza, akawekeza ardhini!