Bei za mabasi

mi simshauri hiloo maana naona jirani yaangu kila siku analia na anameza dawa za presha.
kama kweeli ana huo mpunga au yeyote mwenye mpunga wa hvyo kwa nini asiende bank akaweka fixed ya mwez mmoja mmoja?????
imajini hyo 370M kwa mwezi let say watakuwa wanakupa rate ya 7% ambayo ni sawa na Tsh 25,900,000/=
sasa kwa nini uhangaike na hayo magari usiku kucha haulali kama mlinzi????
 
Kanunue yutong mitumba minne ya mil.80 linakua bado tamu kwa watu watunzaji kama shabiby, super feo au new force then kamata route tuanze kazi japo mwanzoni pagumu.....ukishindwa basi kamvue mtu marcopolo used hata mbili zipe route ya kijijini huko ndipo pesa ipo.
 
Kwa kifupi hakuna kampuni itakayo acha tumia mabasi ya kichina, yatakufa tuu.
Dar express ndo anakomaa kisa alikuwa wakala wa scania.

Nakumbuka ilikuwa nadhani ni kidia one from moshi to dar, it consumes about 50litres sijajua kwa scania
Moshi dar lita 50?hata kwa Toyota IST bado ni mafuta kidogo sana kwa safari ya kilometa 561 dar to moshi
 
Kumbe ushauri wooooote ni uuze shamba tu? Bro we kiboko.
 
Kwenye mchanga pia Serikali ipo ndugu, Huwezi kuchimba hovyo hovyo,
 
Mkuu huo mtaji mzuri sana aisee..

Njoo tuanzishe kampuni kubwa ya ulinzi kama G4S tuongeze pesa...

Kumbuka hapo tukuajiri elite working staff, basi tutapata malindo yasiyosumbua kulipa mwisho wa mwezi...

Kamata fursa twenzetu.
Wazo lako ni zuri sana, ila umeandika /unaonekana km muhuni flan hivi!!!
 
Nimesoma comments zenu zote, nilicho gundua wote ni wajinga tu, sijaona mwenye akili vzr. Badala mmshauri atoe sadaka Kwanza ya shukran kwa Mungu, na atoe fungu la kumi ili Mungu afungue milango zaidi. Mnamdanganya tu. Wewe mleta post jambo La kwanza mkumbuke Mungu kwanza. Then atakwambia nini cha kufanya. Zaburi 32:8
 


mmmh huyo sijui MUNGU gaani unaemuabudu wewee anayekuruhusu kuwa na mdomo mchafu namna hyoo kama gar la taka. Any way naona wachina siku hizi nao wametengeneza Hadi miungu.
 
Hizo 370mil umezipataje? Sidhani mtu mwenye uwezo wa kupata mil 370 ashindwe kujua bei za yutong au Scania Marcopolo...Biashara ya magari kichaa
Ishu ya kuzipataje wewe inakuhusu nini!!?? Mtu kutokuja bei ya kitu sio kwamba hana hela. Nakuosa imani na uwezo wako wakufikiri
 
NUNUA FUSO 2/ ANZISHA KIWANDA CHA MAJI.../ MKOANI / PENYE CHEMCHEM / NATURED HUTAJUTA... YOU WILL SHAKES MY HANDS NA MAHELA RUNDO UTABAKI NAYO.....
 
Nakushauri njoo Lindi au Mtwara jenga apartment unakula million moja hadi mbili kwa mwezi.Hii biashara ya usafirishaji ina risk nyingi mfano trafiki kila siku wanahitaji posho,kondakta atakuibia,Sumatra nao watakuchapa kimsingi nakusihi achana nayo.
 
nunua coaster 4 tafuta route unayolipa hakika kwa miaka 2 utakua mbal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…