Bei za mabasi

Bei za mabasi

mi simshauri hiloo maana naona jirani yaangu kila siku analia na anameza dawa za presha.
kama kweeli ana huo mpunga au yeyote mwenye mpunga wa hvyo kwa nini asiende bank akaweka fixed ya mwez mmoja mmoja?????
imajini hyo 370M kwa mwezi let say watakuwa wanakupa rate ya 7% ambayo ni sawa na Tsh 25,900,000/=
sasa kwa nini uhangaike na hayo magari usiku kucha haulali kama mlinzi????
 
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi gani?
2. Je ni basi gani ni imara ili nisiingie hasara likafa haraka?
3. Kama ni body za kuchonga bei zake zinaendaje na kampuni gani nzuri?
kwa wenye uzoefu je biashara ya mabasi inalipa?
mtaji wangu ni Milion 370. je inaweza nipatia mabasi mawili? maono yangu ni nilitaka kujaribu njia ya DAR -Arusha
Kanunue yutong mitumba minne ya mil.80 linakua bado tamu kwa watu watunzaji kama shabiby, super feo au new force then kamata route tuanze kazi japo mwanzoni pagumu.....ukishindwa basi kamvue mtu marcopolo used hata mbili zipe route ya kijijini huko ndipo pesa ipo.
 
Kwa kifupi hakuna kampuni itakayo acha tumia mabasi ya kichina, yatakufa tuu.
Dar express ndo anakomaa kisa alikuwa wakala wa scania.

Nakumbuka ilikuwa nadhani ni kidia one from moshi to dar, it consumes about 50litres sijajua kwa scania
Moshi dar lita 50?hata kwa Toyota IST bado ni mafuta kidogo sana kwa safari ya kilometa 561 dar to moshi
 
Achana na biashara ya magari,mtaji wako ni mdogo sana au suibiri maradi wa DART ukianza utanunua HISA zako kwenye makampuni ya usafiorishaji.Kwa kuanzia walau uwe na basi ata nne ili mbili zikipanda na mbili zionashuka,hapo itaiona hela.Otherwise subiri maumivu.
Ushauri wangu wekeza kwenye kilimo-tafuta trekta zako mbili na shamba ata ekari mia moja lima nyanya au vitunguu mkoani Iringa/Moro au maembe wilayani Mkuranga(waone chama cha wakulima wa maembe wanaitwa AMAGRO,wapo Urafiki staff kota.Kuna watu wanapiga hela huko vijijini sisi tupo mjini tunadanganyana,nani alitamba kama SCANDINAVIA nchi hii?yuko wapi?.Ukiwa na trekta waweza ata kuzikodisha kwa wakulima pindi unapokuwa uzitumii.Mimi ni Reseacher in Agri-Business nimebahatika kuzunguka mikoa mingi sana,najua ninachokueleza na ivyo vitu ninavyokueleza nimeishavifanyia VALUE CHAIN ANALYSIS nyingi tu.Na sasa nakwenda kufanya value chain analysis ya parachichi this week.Ukipenda ingia hapa:Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in Africa utaona business opportunities nyingi.
Note:Kama utakuwa interested na kilimo cha maembe Mkuranga-nitakuuzia ekari kama 10 ninazo.
Kumbe ushauri wooooote ni uuze shamba tu? Bro we kiboko.
 
Tulikuwa na biashara ya mabasi matano miaka ya tisini na mimi nikiwa kijana mdogo nilisimamia kabla ya kuja ugaibuni. Tatizo kubwa la biashara hii ni Government risk. Serikali ina panga hadi bei wakati mafuta yanaenda ma market!! biashara kichaa tafuta biashara ambayo serikali haipo au nunua machine za kuchimba mchanga ni $29,000 kwa moja itakulipa.
Kwenye mchanga pia Serikali ipo ndugu, Huwezi kuchimba hovyo hovyo,
 
Nimesoma comments zenu zote, nilicho gundua wote ni wajinga tu, sijaona mwenye akili vzr. Badala mmshauri atoe sadaka Kwanza ya shukran kwa Mungu, na atoe fungu la kumi ili Mungu afungue milango zaidi. Mnamdanganya tu. Wewe mleta post jambo La kwanza mkumbuke Mungu kwanza. Then atakwambia nini cha kufanya. Zaburi 32:8
 
Nimesoma comments zenu zote, nilicho gundua wote ni wajinga tu, sijaona mwenye akili vzr. Badala mmshauri atoe sadaka Kwanza ya shukran kwa Mungu, na atoe fungu la kumi ili Mungu afungue milango zaidi. Mnamdanganya tu. Wewe mleta post jambo La kwanza mkumbuke Mungu kwanza. Then atakwambia nini cha kufanya. Zaburi 32:8


mmmh huyo sijui MUNGU gaani unaemuabudu wewee anayekuruhusu kuwa na mdomo mchafu namna hyoo kama gar la taka. Any way naona wachina siku hizi nao wametengeneza Hadi miungu.
 
Hizo 370mil umezipataje? Sidhani mtu mwenye uwezo wa kupata mil 370 ashindwe kujua bei za yutong au Scania Marcopolo...Biashara ya magari kichaa
Ishu ya kuzipataje wewe inakuhusu nini!!?? Mtu kutokuja bei ya kitu sio kwamba hana hela. Nakuosa imani na uwezo wako wakufikiri
 
NUNUA FUSO 2/ ANZISHA KIWANDA CHA MAJI.../ MKOANI / PENYE CHEMCHEM / NATURED HUTAJUTA... YOU WILL SHAKES MY HANDS NA MAHELA RUNDO UTABAKI NAYO.....
 
Nakushauri njoo Lindi au Mtwara jenga apartment unakula million moja hadi mbili kwa mwezi.Hii biashara ya usafirishaji ina risk nyingi mfano trafiki kila siku wanahitaji posho,kondakta atakuibia,Sumatra nao watakuchapa kimsingi nakusihi achana nayo.
 
nunua coaster 4 tafuta route unayolipa hakika kwa miaka 2 utakua mbal
 
Back
Top Bottom