Bei za mabasi

Jenga Nyumba iwe Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha ama Mtwara kwa hizo pesa unaweza pata kodi mil 2 hadi 3 kila mwezi na unaweza kopa benki hata mil 100 unapewa hizo ndo assets utakula hadi utazeeka watoto watasoma vizuri,hutapata presha na utakuwa na amani moyoni mwako,magari utakufa siku si zako!
 
Umesema kweli tupu.
Akichukua hizo hela kiasi cha Tsh 185,000,000/- anaweza kujenga Lodge ya vyumba 10-15.Kwa mfano kule Mtwara nyumba za kufikia wageni hazitoshi. Lodge akiijenga na kuweka vitu vya kisasa halafu akapangisha kwa bei ya 30,40-50,000 basi kwa vyumba 10 tayari ni 300,000 per day.
Hizo baada ya ya mwaka yaani 365x300, 000 tayari hela yako inakua imerudi japo ukitoa na gharama zingine, tuseme baada ya miaka 2 gharama zinarudi. Baada ya hapo ni faida mwanzo mwisho. Asijenge hotel kwanza bali ni lodge ya kawaida ila ya kisasa. Ni biashara nzuri kwa miji kama Mbeya, Mtwara, Mwanza na Arusha hata Dodoma.
 
Nakushauri njoo Lindi au Mtwara jenga apartment unakula million moja hadi mbili kwa mwezi.Hii biashara ya usafirishaji ina risk nyingi mfano trafiki kila siku wanahitaji posho,kondakta atakuibia,Sumatra nao watakuchapa kimsingi nakusihi achana nayo.
Kabisa mkuu. Huko Lindi au Mtwara pamoja kwa mfano Mtwara wamejitahidi sana miaka ya hivi karibuni, lakini kiukweli nyumba za kulala wageni hazitoshi. Kwa 370m/- aweza kujenga lodge na atafanya biashara vizuri sana.
Aachane kwanza na biashara ya mabasi maaana haiaminiki sana.
 

Acha kudanganya.
 
Zipeleke kwa bibi yang Yan dar makanga kupitia
,mbagala, Lindi masasi ukipenda Mpaka songea
 
Unauliza kapataje mil 370 kuna watu wanasitafu wa nalipwa zaidi ya hizo.
 
sasa uzi ni wa 2014 afu mnatoa ushauri leo, hizo pesa bado anazo?
 
Kwahiyo pesa nakushauri anza biashara ya kuuza mifugo yani ng'ombe nenda kauze Dar,comoro au Zanzibar,nunua fuso tat za kusafirishia hizo zingine fanya mtaji.
 
Kwahiyo pesa nakushauri anza biashara ya kuuza mifugo yani ng'ombe nenda kauze Dar,comoro au Zanzibar,nunua fuso tat za kusafirishia hizo zingine fanya mtaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…