kingaz
Member
- Jan 19, 2017
- 21
- 12
Jenga Nyumba iwe Dar,Mbeya,Mwanza,Arusha ama Mtwara kwa hizo pesa unaweza pata kodi mil 2 hadi 3 kila mwezi na unaweza kopa benki hata mil 100 unapewa hizo ndo assets utakula hadi utazeeka watoto watasoma vizuri,hutapata presha na utakuwa na amani moyoni mwako,magari utakufa siku si zako!