Bei za mafuta Zapanda tena

Bei za mafuta Zapanda tena

Huyu mama ni clueless kwa kweli, infact hakuna anachokijua mwanzoni nilikuwa na matumainai naye sana ila kadri siku zinavyokwenda nazidi kujiridhisha kwamba uwezo wake ni mdogo sana. Kibaya zaidi ni kama ameshikiwa akili na kina Mwigulu na genge lake na kwa kuwa wameshajua udhaifu wake wanamchezesha ngoma wanavyotaka mara matozo yasiyo na kichwa wala miguu kwenye miamala, makodi kwenye mafuta etc... Aliyesema rais angalau awe na degree moja aliona mbali sana at least anakuwa na uwezo wa kupambanua mambo kwa kina. Bado anafanya makosa ambayo ni very obvious kwenye teuzi zake yaani amepwaya sana, seems hasomi documents akajiridhisha kabla ya kusign. Ila wacha kazi iendelee tuone...
 
Ila imepanda sh 22 tu mkuu kwenye petroli
Unafikiri yalifikaje hapo? Mwezi uliopita yalipanda kwa 150, mwezi huu 22, mwezi ujao 50, unaofata 40, mwingine 60 ,hivyo hivyo Hadi yatafika 3000
Nakukumbusha kuwa haya haya mafuta yalikuwaga 1500 mwaka jana, Ila taratibu yakaanza kupanda na ndio yamefika hapo
Kosa kubwa la serikali ni kuongeza Kodi kwenye bajeti mpya, serikali ilipaswa iache mafuta Kama yalivyo
 
Acheni kulalamika mungu anawalipa unafiki wenu mlimtukana sana yule jamaa bila sababu
 
Itabidi turudi tu kwenye baiskeli! Labda na huko nako waamue kuirudisha tena ile kodi ya kipande ya miaka ya 90!!
Miaka ya tisoni mwanzoni tulikuwa tunalipa Kodi ya baiskeli shilingi 50 kwa mwaka.

Wale mgambo walikuwa wakiona haujabandika stika aisee ujue wanabeba baiskeli

Mkapa aliondoa ujinga mwingi sana, Hadi Kodi ya kichwa alifuta alipoweka mfumo rasmi wa Kodi sasa wamerudi akina madelu wanaturidisha kulekule.

Shenzi kabisa
 
Acheni kulalamika mungu anawalipa unafiki wenu mlimtukana sana yule jamaa bila sababu
Pamoja tunakutana na haya madhila Ila haifanyi bwana yule kuwa mwema. Haya majuto hayafanyi kumfikiria arudi.

He had to go aisee.
 
Haka ka 1st kangu nakafunga mitungi sasa hivi km malori ya Dangote better nitumie gas ambayo ha8athiriwi na bei ya soko la Dunia
 
Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimae akili zimewarudi sasa!

Na bado,! Subirini oktoba, novemba na decemba bei za vyakula zitakapopaa ndio mtatia akili zaidi!
 
Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ndo ulikuwa ukitupa matumaini. Nawewe sasa umepinduka matumaini tutayapata wapi hususani sisi akina sukuma gang
 
Bei ya Mafuta yazidi kuchanja Mbuga hapa Bongo, Kwa kanda ya Kazikazini Petrol ipo above 2540 tsh , Tutegeemeeni Mfumuko wa bei Kwa sababu ya gharama za Usafirisha:
Je Serikali imekosa namna ingine ya ku generate Mapato isipokuwa hii ya kuweka charges kwenye Mafuta na Miamala, this is Insane.

Ukute hizi Charges wanazo impose huku zinaenda kufujwa na Mafisadi tu, Tanzania hatuishiwi na Mauza Uza.

Yajayo yanasonononesha Sana.
 
Yule jamaa mwenye dharau anakwambia unaongea na dokta wa uchumi nakuhakikishia mafta hayatapanda bei😄😄 hizi degree zetu wa tz ni za kwenye makaratasi
 
Mi nadhani ndo maana halisi ya kufungua nchi,

Kila kitu kitaamliwa na nguvu ya soko, unyonge unyonge haupo Tena Kila mmoja apambane kweli kweli.
 
Aisee mafuta hapo kati soko la dunia yalishuka kutokana na hii delta ila kwetu yaliongezeka kwa sababu zao za kukusanya pesa za bata leo hii yameongezeka kwa sababu soko la Dunia yameongezeka na huku hatuwezi kukwepa kama kweli wazalendo wapunguze matumizi kuliko kuwaongezea gharama wananchi kwa kigezo cha hovyo cha uzalendo wakati wao huo uzalendo wa kulipa kodi hawana....Zambia mafuta yanapakiliwa Daslm yapo bei ndogo chini ya dollar moja...
 
Back
Top Bottom