washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 723
Kama kiwanja kina slope andaa 5M kwa ajili ya msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tusimuongopee mwenzetu ....tuwe realistic ....gharama za msingi kwa hiyo nyumba Kama Anataka nyumba imara si chini ya millioni 6....kumbuka kuna gharama za mafundi ...pale juu ya msingi akimaliza kuweka cozi na matofali ya msingi kuna kitu wanaweka kinaitwa mkanda ...huwa kinakula sana nondo.
Pole kwa kubamizwa alikuona wakuja he saw you coming!! Kwa kifupi nisikize mimi nina uzoefu wa hayo mambo:
1.kuset profile ya msingi kutoka kwenye ramani mafundi wa mtaani unampa elfu 40 au 50.
2.kuchimba msingi sehemu ya kawaida udongo laini au mchanga wa hyo nyumba ni elfu 80.
3.kujenga kozi za chini kulaza tofali lets say uzamishe chini tofali 800 ni laki na 60 na utahitaji mifuko mi5 na tipper ndogo{yebo} moja sh elfu 50 hii ni tofauti na selela sh 90k au mende 180k
4.gharama za maji weka elfu 10 pipa 4
grand total ni 420,000/= usizidi hapo kwenye msingi maana nimekuonea huruma ulivyopigwa kwenye ramani ungeniambia ningekupa mtu angekuchorea kwa elfu 80 tu yani sketch pamoja na structure + boq

Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri
Kwa hiyo 2.5m ilikuwa inatosha kuchora ramani + kujenga nyumba (boma) hadi liishe.Kama ni kiwanja kilichopimwa na anakufuatilia kupata building permit usilalamike ingawa iko juu kidogo. sasa sijui unataka kufanya setting tu au ni pamoja na kujenga msingi wenyewe? Kwa nyumba kama ya kwako kama unanunua kila kitu setting out yenyewe ni sh laki mbili maximum.
Dada ,kwa maelezo yako, nyumba iko dar,sehemu tambarale.
kama eneo lipo karibu na mji,usafiri sio gharama bei ya mafundi huwa nafuu,kwani wafanyakazi wengi huwa wapiga na gharama za usafiri na upatikanaji wa vibarua,
kwa ukubwa wa jengo lako tarajia labour charge kuwa
kuchimba msingi 250,000
kujenga fundi kila tofali ni sh.250-350 times idadi ya matofali yako,kwa size ya nyumba yako ni tofali 1500(haizidi elfu 2000)
kusuka nondo kama utaweka mkanda wa chini ni 300,000
vibarua wanalipwa 12000 to 15000 kwa siku kwa kazi ya zege,kujaza kifusi.
pia kuna mtu anaitwa site formen analipwa 20,000 kila siku,yeye kazi yake ni kuangalia ubora wa kazi na kuhakikisha hauibiwi.watu wengi huwa hawamweki huyu jamaa hivyo basi wanakaa wenyewe site na hapo hapo bado wanaibiwa na mafundi wakishirikiana na vibarua.
kazi ni kwako dada
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.
Asanten kwa ushauri
Swali lako lina majibu mawili.
Inabidi uwe makini ili msigombane na fundi mwishoni.
Unapomwambia fundi akujengee msingi, anaweza kukujengea msingi akauacha "uchi" au akaujenga na kumwaga zege la jamvi.
Nakushauri kama bajeti inaruhusu umwage na jamvi ili kuepuka nyufa kwenye msingi.
Kuhusu bei ya ufundi: Kama nyumba yako itakuwa size ya kawaida, kwa vyumba ulivyotaja msingi wake utahitaji matofali 800 mpaka 1000. Bei ya kujenga tofali moja isizidi sh. 200. Kwahiyo ukiwa na sh. laki 2 zitatosha kwa kazi ya tofali.
Kuchimba msingi, chukulia msingi unachimbwa na watu watatu kwa muda wa siku mbili. Kila mtu kiwango cha juu cha malipo ni sh. elfu 15 kwa siku kwa hiyo watu watatu kwa siku mbili ni sh. elfu 90 jumla. Kupata mahesabu kamili kadiria laki moja kwa msingi.
Kumwaga zege kadirio la juu ni sh. laki 2.
kwahiyo jumla ni 200,000 + 100,000 + 200,000 = 500,000 shs.
Hii ni gharama ya ufundi. Materials usihofu sana kwa sababu bei zake zinajulikana madukani ni vigumu kupigwa kama ulivyopigwa kwenye ramani. Jamaa wa ramani kakupiga mno.
Important: Unapotaka kubargain bei ya kazi na fundi tumia ujanja huu. Muulize fundi kazi itachukua muda gani kukamilika. Wakati unafanya hivyo jifanye kwamba una haraka na unataka akuhakikishie kuwa itaisha mapema iwezekanavyo. Usimwambie kuwa taarifa hiyo itakuongoza kupata makadirio ya bei. Muweke katika mazingira ya kudhani kuwa kadri muda anaotaja utakavyokuwa mfupi ndivyo jinsi atakavyokupa matumaini juu ya uwezo wake.
Akishakutajia siku ambazo kazi itaisha, pozi kidogo jaribu kubadili topic na kuongelea mambo mengine yasiyohusiana na mjadala wenu wa bei kama kwa nusu dakika hivi. Halafu ghafla ingiza swali juu ya idadi ya watu watakaofanya hivyo kazi. Uliza katika njia ambayo asione connection ya moja kwa moja na bei. Akishakutajia idadi ya watu fanya makadirio kuwa kila mtu atalipwa sh. elfu 15 kwa siku. Mara nyingi huwa wanalipwa elfu 10 kwa siku though. Gharama ya fundi ni sh. elfu 30 kwa siku. Kwa hiyo ukijumlisha gharama za wasaidizi na yeye mwenyewe fundi unapata gharama halisi. Na tumia kadirio hilo kubargain na fundi bila kumwambia how you arrived kwenye hilo kadirio kwa sababu next time atakuwa kashajua ujanja wako.
Mimi hakuna fundi wangu hata mmoja anayejua kama hii ndio njia ninayotumia kupata estimates na ninajua kuwa nikisimamia hapo hawezi kuikataa kazi. Hata hivyo hakikisha mafundi wako unawalipa a bit more than general pay kwa sababu ukifanya hivyo hawatatoroka kazi yako au more precisely unapunguza uwezekano wa kutoroka.
Pia hakikisha unalipa kwa rate inayoendana na kazi iliyokwisha fanyika. Ukimpa 50% ya malipo on day one wakati amefanya robo ya kazi, usishangae kesho asipokuja kazini! Pay As You Go...
Kwa hiyo 2.5m ilikuwa inatosha kuchora ramani + kujenga nyumba (boma) hadi liishe.
unajua mkuu bei inafuatana na wewe mwenyewe ulivyo orozesha requirement kwa huyo architect wako kikubwa huyo anayesema laki 4...hiyo ni mara mojamoja sana labda uwafuate wanafunzi pale ardhi ndo wanabei hizo za laki 4.....!kwa kweli kwa 2.5m nazo ni nyingi huwa mara nyingi just normal architect ambaye sio wa gharama angekufanyia laki 8.
pili kwenye suala la msingi hadi unamwaga jamvi fundi mzuri anayejua kazi yake atakufanyia 2.7 hadi 3 millioni huyu ni fundi wa kawaida sio ghari wala sio cheap......!nazani umenielewa mkuu!
ila pia maeneo husika ya unapojenga yanamata sana hizo bei ni kwa dar afu kigamboni.!
Nzuri hiiSwali lako lina majibu mawili.