Bei za msingi wa nyumba

Bei za msingi wa nyumba

dah,alikupiga sana aisee kwa sababu mdada,ungeuliza mapema,vinyumba vyetu vya kawaida hivi vya rum 3 hata elfu 50 ramani unapata!ok,msingi andaa 1m kama materials zote zako,japo yaweza kupungua au kuzidi lakin kidogo,tafuta mafundi hata 10,ongea nao kila mmoja kwa wakti wake,pia jiridhishe na kazi zao!
 
Jamani tusimuongopee mwenzetu ....tuwe realistic ....gharama za msingi kwa hiyo nyumba Kama Anataka nyumba imara si chini ya millioni 6....kumbuka kuna gharama za mafundi ...pale juu ya msingi akimaliza kuweka cozi na matofali ya msingi kuna kitu wanaweka kinaitwa mkanda ...huwa kinakula sana nondo.
 
Nataka jua bei au garama ya fundi garama za material tayari ninazo

Asante
 
Dada ,kwa maelezo yako, nyumba iko dar,sehemu tambarale.
kama eneo lipo karibu na mji,usafiri sio gharama bei ya mafundi huwa nafuu,kwani wafanyakazi wengi huwa wapiga na gharama za usafiri na upatikanaji wa vibarua,
kwa ukubwa wa jengo lako tarajia labour charge kuwa
kuchimba msingi 250,000
kujenga fundi kila tofali ni sh.250-350 times idadi ya matofali yako,kwa size ya nyumba yako ni tofali 1500(haizidi elfu 2000)
kusuka nondo kama utaweka mkanda wa chini ni 300,000
vibarua wanalipwa 12000 to 15000 kwa siku kwa kazi ya zege,kujaza kifusi.
pia kuna mtu anaitwa site formen analipwa 20,000 kila siku,yeye kazi yake ni kuangalia ubora wa kazi na kuhakikisha hauibiwi.watu wengi huwa hawamweki huyu jamaa hivyo basi wanakaa wenyewe site na hapo hapo bado wanaibiwa na mafundi wakishirikiana na vibarua.
kazi ni kwako dada
 
Pole kwa kubamizwa alikuona wakuja he saw you coming!! Kwa kifupi nisikize mimi nina uzoefu wa hayo mambo:
1.kuset profile ya msingi kutoka kwenye ramani mafundi wa mtaani unampa elfu 40 au 50.
2.kuchimba msingi sehemu ya kawaida udongo laini au mchanga wa hyo nyumba ni elfu 80.
3.kujenga kozi za chini kulaza tofali lets say uzamishe chini tofali 800 ni laki na 60 na utahitaji mifuko mi5 na tipper ndogo{yebo} moja sh elfu 50 hii ni tofauti na selela sh 90k au mende 180k
4.gharama za maji weka elfu 10 pipa 4
grand total ni 420,000/= usizidi hapo kwenye msingi maana nimekuonea huruma ulivyopigwa kwenye ramani ungeniambia ningekupa mtu angekuchorea kwa elfu 80 tu yani sketch pamoja na structure + boq
 
Kamanda nikiwa poa mwakani nitakutafuta
"VV"
 
Dahhh nashkuru kwa ushauri imagne archtect alitaka fanya setting only kwa laki 3 na hyo ni bila kuweka msingi,yani setting ONLY eti koz ye ndo kachora ataset vzuri ndo nkafanya resech nkagundua ataka nibamiza tena yani jaman usilolijua ni ucku wa giza
 
Swali lako lina majibu mawili.

Inabidi uwe makini ili msigombane na fundi mwishoni.

Unapomwambia fundi akujengee msingi, anaweza kukujengea msingi akauacha "uchi" au akaujenga na kumwaga zege la jamvi.

Nakushauri kama bajeti inaruhusu umwage na jamvi ili kuepuka nyufa kwenye msingi.

Kuhusu bei ya ufundi: Kama nyumba yako itakuwa size ya kawaida, kwa vyumba ulivyotaja msingi wake utahitaji matofali 800 mpaka 1000. Bei ya kujenga tofali moja isizidi sh. 200. Kwahiyo ukiwa na sh. laki 2 zitatosha kwa kazi ya tofali.

Kuchimba msingi, chukulia msingi unachimbwa na watu watatu kwa muda wa siku mbili. Kila mtu kiwango cha juu cha malipo ni sh. elfu 15 kwa siku kwa hiyo watu watatu kwa siku mbili ni sh. elfu 90 jumla. Kupata mahesabu kamili kadiria laki moja kwa msingi.

Kumwaga zege kadirio la juu ni sh. laki 2.

kwahiyo jumla ni 200,000 + 100,000 + 200,000 = 500,000 shs.

Hii ni gharama ya ufundi. Materials usihofu sana kwa sababu bei zake zinajulikana madukani ni vigumu kupigwa kama ulivyopigwa kwenye ramani. Jamaa wa ramani kakupiga mno.

Important: Unapotaka kubargain bei ya kazi na fundi tumia ujanja huu. Muulize fundi kazi itachukua muda gani kukamilika. Wakati unafanya hivyo jifanye kwamba una haraka na unataka akuhakikishie kuwa itaisha mapema iwezekanavyo. Usimwambie kuwa taarifa hiyo itakuongoza kupata makadirio ya bei. Muweke katika mazingira ya kudhani kuwa kadri muda anaotaja utakavyokuwa mfupi ndivyo jinsi atakavyokupa matumaini juu ya uwezo wake.

Akishakutajia siku ambazo kazi itaisha, pozi kidogo jaribu kubadili topic na kuongelea mambo mengine yasiyohusiana na mjadala wenu wa bei kama kwa nusu dakika hivi. Halafu ghafla ingiza swali juu ya idadi ya watu watakaofanya hivyo kazi. Uliza katika njia ambayo asione connection ya moja kwa moja na bei. Akishakutajia idadi ya watu fanya makadirio kuwa kila mtu atalipwa sh. elfu 15 kwa siku. Mara nyingi huwa wanalipwa elfu 10 kwa siku though. Gharama ya fundi ni sh. elfu 30 kwa siku. Kwa hiyo ukijumlisha gharama za wasaidizi na yeye mwenyewe fundi unapata gharama halisi. Na tumia kadirio hilo kubargain na fundi bila kumwambia how you arrived kwenye hilo kadirio kwa sababu next time atakuwa kashajua ujanja wako.

Mimi hakuna fundi wangu hata mmoja anayejua kama hii ndio njia ninayotumia kupata estimates na ninajua kuwa nikisimamia hapo hawezi kuikataa kazi. Hata hivyo hakikisha mafundi wako unawalipa a bit more than general pay kwa sababu ukifanya hivyo hawatatoroka kazi yako au more precisely unapunguza uwezekano wa kutoroka.

Pia hakikisha unalipa kwa rate inayoendana na kazi iliyokwisha fanyika. Ukimpa 50% ya malipo on day one wakati amefanya robo ya kazi, usishangae kesho asipokuja kazini! Pay As You Go...
 
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.

Asanten kwa ushauri

am an architect..amini nakuambia "AMEKUFANYIA VERY FAIR"...hiyo nyumba unayotaka kuijenga ukiweza kuijenga kwa kujibana sanaaaa haitopungua 50million tshs. na kwa mujibu wa sheria za board ya ma-architect na quantity surveyors ya tanzania unatakiwa ulipie kiwango cha chini kisichopungua 12% kama gharama za utaalamu wa kazi..kwa hiyo ulitakiwa ulipie tshs 6million na sio hiyo 2.5m. Pia naungana na wewe kukubali kuwa ulipigwa pesa nyingi sana maana kuna jamaa pale posta huwa wanauza ramani zilizokwisha chorwa kwa tshs elfu 6-20 tuu.

turudi kwenye mada yako ya gharama za kuset msingi au gharama za kujenga msingi au labour charges za kujenga msingi?..ukishajuwa unachokiongelea hapa nitaweza kukupa njia za kupata tentative estimates za unachotaka kufanya
1- kuset msingi- ni kupima na kufunga kamba zinazoonyesha wapi jengo litajengwa na watu waanze kuchimba msingi
2- gharama za kujenga msingi- hii inamaanisha totala cost ambayo ni gharama za kuset + gharama za materials za ujenzi + gharama za mafundi
3- labour charges - hizi ni gharama unazolipa kwa mafundi ili wakufanyie kazi yako ikiwa wewe utanunua vifaa vyote na kuwapelekea site kwako.

unachotaka ni nini hasa?
 
Kama ni kiwanja kilichopimwa na anakufuatilia kupata building permit usilalamike ingawa iko juu kidogo. sasa sijui unataka kufanya setting tu au ni pamoja na kujenga msingi wenyewe? Kwa nyumba kama ya kwako kama unanunua kila kitu setting out yenyewe ni sh laki mbili maximum.
Kwa hiyo 2.5m ilikuwa inatosha kuchora ramani + kujenga nyumba (boma) hadi liishe.
 
Dada ,kwa maelezo yako, nyumba iko dar,sehemu tambarale.
kama eneo lipo karibu na mji,usafiri sio gharama bei ya mafundi huwa nafuu,kwani wafanyakazi wengi huwa wapiga na gharama za usafiri na upatikanaji wa vibarua,
kwa ukubwa wa jengo lako tarajia labour charge kuwa
kuchimba msingi 250,000
kujenga fundi kila tofali ni sh.250-350 times idadi ya matofali yako,kwa size ya nyumba yako ni tofali 1500(haizidi elfu 2000)
kusuka nondo kama utaweka mkanda wa chini ni 300,000
vibarua wanalipwa 12000 to 15000 kwa siku kwa kazi ya zege,kujaza kifusi.
pia kuna mtu anaitwa site formen analipwa 20,000 kila siku,yeye kazi yake ni kuangalia ubora wa kazi na kuhakikisha hauibiwi.watu wengi huwa hawamweki huyu jamaa hivyo basi wanakaa wenyewe site na hapo hapo bado wanaibiwa na mafundi wakishirikiana na vibarua.
kazi ni kwako dada

Mkuu yaonekana upo sana ktk issue hizi,yaani hesabu uliyompa hapo ni the same na bei niliyofanyiwa ktk kujenga msingi wa nyumba yangu,namshauri dada etu aichukue hii itamuongoza but kwenye tofali hapo wengine wanakomaaga 400/350.na hadi kumaliza msingi ineza cost kama 6.7mil,msingi mzuri kwa ujenzi wetu wa mjini nalazima aweke mkanda bila mkanda itamsumbua coz udongo mwingine hauhimili nyufa.
 
Nilisema 3 bedroomed to mean nyumba ya vyumba vtatu ambayo chumba kimoja ni master, ina jiko,store,sebule na public toilet. Ipo sehemu ya tambarale.nimeona niulize mana mchora ramani alinchorea kwa 2.5million ila kaandaa na document inaitwa schedule of material ila nilivokuja fanya resech nikagundua kua huyu architect alinibamiza sanaaa mana watu wanachorewa raman hadi laki 4.thats y ctaki tena kuingia kchwa kichwa.

Asanten kwa ushauri

Mamaaa yaani huyo jamaa alikuokota kweli, yaani alikula 2.5M?hakukuuliza kama kuna jamaa yako anayehitaji?
 
Swali lako lina majibu mawili.

Inabidi uwe makini ili msigombane na fundi mwishoni.

Unapomwambia fundi akujengee msingi, anaweza kukujengea msingi akauacha "uchi" au akaujenga na kumwaga zege la jamvi.

Nakushauri kama bajeti inaruhusu umwage na jamvi ili kuepuka nyufa kwenye msingi.

Kuhusu bei ya ufundi: Kama nyumba yako itakuwa size ya kawaida, kwa vyumba ulivyotaja msingi wake utahitaji matofali 800 mpaka 1000. Bei ya kujenga tofali moja isizidi sh. 200. Kwahiyo ukiwa na sh. laki 2 zitatosha kwa kazi ya tofali.

Kuchimba msingi, chukulia msingi unachimbwa na watu watatu kwa muda wa siku mbili. Kila mtu kiwango cha juu cha malipo ni sh. elfu 15 kwa siku kwa hiyo watu watatu kwa siku mbili ni sh. elfu 90 jumla. Kupata mahesabu kamili kadiria laki moja kwa msingi.

Kumwaga zege kadirio la juu ni sh. laki 2.

kwahiyo jumla ni 200,000 + 100,000 + 200,000 = 500,000 shs.

Hii ni gharama ya ufundi. Materials usihofu sana kwa sababu bei zake zinajulikana madukani ni vigumu kupigwa kama ulivyopigwa kwenye ramani. Jamaa wa ramani kakupiga mno.

Important: Unapotaka kubargain bei ya kazi na fundi tumia ujanja huu. Muulize fundi kazi itachukua muda gani kukamilika. Wakati unafanya hivyo jifanye kwamba una haraka na unataka akuhakikishie kuwa itaisha mapema iwezekanavyo. Usimwambie kuwa taarifa hiyo itakuongoza kupata makadirio ya bei. Muweke katika mazingira ya kudhani kuwa kadri muda anaotaja utakavyokuwa mfupi ndivyo jinsi atakavyokupa matumaini juu ya uwezo wake.

Akishakutajia siku ambazo kazi itaisha, pozi kidogo jaribu kubadili topic na kuongelea mambo mengine yasiyohusiana na mjadala wenu wa bei kama kwa nusu dakika hivi. Halafu ghafla ingiza swali juu ya idadi ya watu watakaofanya hivyo kazi. Uliza katika njia ambayo asione connection ya moja kwa moja na bei. Akishakutajia idadi ya watu fanya makadirio kuwa kila mtu atalipwa sh. elfu 15 kwa siku. Mara nyingi huwa wanalipwa elfu 10 kwa siku though. Gharama ya fundi ni sh. elfu 30 kwa siku. Kwa hiyo ukijumlisha gharama za wasaidizi na yeye mwenyewe fundi unapata gharama halisi. Na tumia kadirio hilo kubargain na fundi bila kumwambia how you arrived kwenye hilo kadirio kwa sababu next time atakuwa kashajua ujanja wako.

Mimi hakuna fundi wangu hata mmoja anayejua kama hii ndio njia ninayotumia kupata estimates na ninajua kuwa nikisimamia hapo hawezi kuikataa kazi. Hata hivyo hakikisha mafundi wako unawalipa a bit more than general pay kwa sababu ukifanya hivyo hawatatoroka kazi yako au more precisely unapunguza uwezekano wa kutoroka.

Pia hakikisha unalipa kwa rate inayoendana na kazi iliyokwisha fanyika. Ukimpa 50% ya malipo on day one wakati amefanya robo ya kazi, usishangae kesho asipokuja kazini! Pay As You Go...

Asante sanaaaaa kwa ushauri yani umenfungua macho,yes i need kuchimbiwa msingi na hyo kumwaga zege whch in ur explanations umesema it shouldnt exceed 500000,is that right??

Thank u for ur time.
 
unajua mkuu bei inafuatana na wewe mwenyewe ulivyo orozesha requirement kwa huyo architect wako kikubwa huyo anayesema laki 4...hiyo ni mara mojamoja sana labda uwafuate wanafunzi pale ardhi ndo wanabei hizo za laki 4.....!kwa kweli kwa 2.5m nazo ni nyingi huwa mara nyingi just normal architect ambaye sio wa gharama angekufanyia laki 8.

pili kwenye suala la msingi hadi unamwaga jamvi fundi mzuri anayejua kazi yake atakufanyia 2.7 hadi 3 millioni huyu ni fundi wa kawaida sio ghari wala sio cheap......!nazani umenielewa mkuu!

ila pia maeneo husika ya unapojenga yanamata sana hizo bei ni kwa dar afu kigamboni.!
 
Huu msingi ulioweka hapa ni wa ghorofa tena sehemu yenye bonde. Huyu amesejma nyumba yake ni ya chini na kiwanja kiko flat.
 
Swali lako lina majibu mawili.

Inabidi uwe makini ili msigombane na fundi mwishoni.

Unapomwambia fundi akujengee msingi, anaweza kukujengea msingi akauacha "uchi" au akaujenga na kumwaga zege la jamvi.

Nakushauri kama bajeti inaruhusu umwage na jamvi ili kuepuka nyufa kwenye msingi.

Kuhusu bei ya ufundi: Kama nyumba yako itakuwa size ya kawaida, kwa vyumba ulivyotaja msingi wake utahitaji matofali 800 mpaka 1000. Bei ya kujenga tofali moja isizidi sh. 200. Kwahiyo ukiwa na sh. laki 2 zitatosha kwa kazi ya tofali.

Kuchimba msingi, chukulia msingi unachimbwa na watu watatu kwa muda wa siku mbili. Kila mtu kiwango cha juu cha malipo ni sh. elfu 15 kwa siku kwa hiyo watu watatu kwa siku mbili ni sh. elfu 90 jumla. Kupata mahesabu kamili kadiria laki moja kwa msingi.

Kumwaga zege kadirio la juu ni sh. laki 2.

kwahiyo jumla ni 200,000 + 100,000 + 200,000 = 500,000 shs.

Hii ni gharama ya ufundi. Materials usihofu sana kwa sababu bei zake zinajulikana madukani ni vigumu kupigwa kama ulivyopigwa kwenye ramani. Jamaa wa ramani kakupiga mno.

Important: Unapotaka kubargain bei ya kazi na fundi tumia ujanja huu. Muulize fundi kazi itachukua muda gani kukamilika. Wakati unafanya hivyo jifanye kwamba una haraka na unataka akuhakikishie kuwa itaisha mapema iwezekanavyo. Usimwambie kuwa taarifa hiyo itakuongoza kupata makadirio ya bei. Muweke katika mazingira ya kudhani kuwa kadri muda anaotaja utakavyokuwa mfupi ndivyo jinsi atakavyokupa matumaini juu ya uwezo wake.

Akishakutajia siku ambazo kazi itaisha, pozi kidogo jaribu kubadili topic na kuongelea mambo mengine yasiyohusiana na mjadala wenu wa bei kama kwa nusu dakika hivi. Halafu ghafla ingiza swali juu ya idadi ya watu watakaofanya hivyo kazi. Uliza katika njia ambayo asione connection ya moja kwa moja na bei. Akishakutajia idadi ya watu fanya makadirio kuwa kila mtu atalipwa sh. elfu 15 kwa siku. Mara nyingi huwa wanalipwa elfu 10 kwa siku though. Gharama ya fundi ni sh. elfu 30 kwa siku. Kwa hiyo ukijumlisha gharama za wasaidizi na yeye mwenyewe fundi unapata gharama halisi. Na tumia kadirio hilo kubargain na fundi bila kumwambia how you arrived kwenye hilo kadirio kwa sababu next time atakuwa kashajua ujanja wako.

Mimi hakuna fundi wangu hata mmoja anayejua kama hii ndio njia ninayotumia kupata estimates na ninajua kuwa nikisimamia hapo hawezi kuikataa kazi. Hata hivyo hakikisha mafundi wako unawalipa a bit more than general pay kwa sababu ukifanya hivyo hawatatoroka kazi yako au more precisely unapunguza uwezekano wa kutoroka.

Pia hakikisha unalipa kwa rate inayoendana na kazi iliyokwisha fanyika. Ukimpa 50% ya malipo on day one wakati amefanya robo ya kazi, usishangae kesho asipokuja kazini! Pay As You Go...
Nzuri hii
 
Back
Top Bottom