Bei za msingi wa nyumba

Dah, huyu mwizi mkuu, mimi nyumba yangu (room 3 kama yako) nilichorewa ramani na akaenda kupitisha building permit kwa laki nne. Mfate mwambie kabisa alikuibia ajue. Kina mama mnapojenga au mnapotaka kununua gari mshirikishe mwanaume yeyote kama huna mume tafuta hata ndugu au rafiki mpeane ushauri.
Mimi kuset na kuujenga msingi wote fundi nilimpa 800,000.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…