Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Treni hii ni huduma !Msiihujumu.
Huyu ndio familia ilitoa fedha kumsomesha, wewe mbona umeshindwa kuendesha ile gas yenu ya M-Gas??Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Malengo ya kujenga hiyo reli yalikuwa yapi?
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Huyu ndio familia ilitoa fedha kumsomesha, wewe mbona umeshindwa kuendesha ile gas yenu ya M-Gas??
Moja ya mtu mpumbavu wa fikra tokea dunia iumbwe
Mwili unaupa mzigo kubeba kichwa kilicho jaa upumbavuKinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Wabongo njia pekee sahihi kwao ya kukabiliana na ushindani wa kibiashara ni kumpiga vita mshindani huyo na ikiwezekana kumpoteza kabisa na Wala hawanaga muda wa kuangalia mapungufu yaliyopo kwenye biashara zao au vitu vya kuongezea Hili kumaintain customerbase.
Mimi naamini light kama muanzilishi wa kampuni ya NOKIA angekuwa ni mbongo basi leo tusingekuwa na makampuno mengine yanayotengeneza simu kama Samsung,Tecno,Iphone n.k.. maana mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana linapokuja suala la biashara na ni mvivu wa kufikiria maarifa mapya
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Mwili unaupa mzigo kubeba kichwa kilicho jaa upumbavu
Nauli za ndege huwa ni kubwa duniani kote.Wapuuzi wachache kama wewe ndio mlifanya hadi sasa watanzania walio wengi waone kupanda ndege ni anasa na ndege ni usafiri wa kitajiri.
Waweke elfu 10 ?Waangalie upya bei za mabasi siyo za tren
Hakukosea ila hakusema ni nywele za wapiAliyesema akili ni nywele alikosea sana
Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma.
Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea kushindana, napendekeza nauli za treni ziwe juu zaidi. Hatua hii itasaidia kuimarisha sekta ya mabasi na kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya usafiri vinaweza kuendelea kutoa huduma kwa tija, huku abiria wakipata uhuru wa kuchagua usafiri kulingana na vipaumbele vyao bila kuathiriwa sana na tofauti kubwa za bei.
Kwa kuongeza nauli za treni, sekta ya mabasi itapata nafuu ya ushindani na hivyo kusaidia kudumisha watoa huduma wengi kwenye soko. Hii siyo tu kwamba itachochea ukuaji wa sekta zote mbili bali pia itahakikisha huduma za usafiri zinapatikana kwa wingi na kwa ubora zaidi kwa wasafiri.
Una uhakika?Nauli za ndege huwa ni kubwa duniani kote.
Na kinachowavutia watu kwenye basi ni nini?Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka.
Watu wa mabasi wanatakiwa waboreshewe miundombinu watembee kwa speed ya juu.Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.
part two ..02Sehemu ya kwanza ......01
HOJA YAKO
Hofu ya biashara ya mabasi ya usafirishaji abiria kushindwa kihilimili soko la ushindani ulioletwa kutoka kwa treni ya abiria ya mwendo kasi ya umeme sgr,
hivyo hofu yako kubwa abiria wa mabasi watapungua kupelekea mapato /faida ya biashara ya mabasi kupungua na kutishia ustawi uhai wa biashara ya mabasi.
SABABU PEKEE KUU uliyoifikiria itakayopekea kupungua abiria wa mabasi ni NAULI ya treni kuwa ya kizalendo ambayo ni himilivu kwa watanzania walio wengi .
NJIA SULUHISHO PEKEE ULILOFIKIRIA
Ili kunusuru biashara ya mabasi ya usafirishaji abiria hivyo umeshauri njia pekee ni KUPANDISHA NAULI za treni ,ili watanzania walio wengi masikini washindwe kuhimili kumudu gharama za treni halafu wakishindwa kulipia gharama ghali za juu sana za nauli za treni endapo zikipandishwa kama unavyoshauri sasa, basi wajaze katika mabasi wapande mabasi ya abiria waache kupanda treni kwa kushindwa kumudu gharama,
tena kama ingewezekana UNGEPENDA wasipande kabisa treni ili wajazane kwenye mabasi kwa kiasi kikubwa .HIVYO NDIVYO ULIVYOFIKIRIA.
Umekengeuka, siyo bure!Bei za nauli za treni za kwenda Morogoro na Dodoma zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kuweka uwiano wa biashara kati ya mabasi na treni
Kinacho wavutia watu kwenye treni ni speed ya treni ili wafike haraka. Kwa hiyo unataka watu wa mabasi waongeze speed kama ya treni. Watu wa mabasi hawawezi kuboresha speed ya mabasi kufikia ya treni.Meneja wa Makampuni? Makampuni gani hayo?
Bado una mengi ya kujifunza kuhusu mbinu za kisasa za kufanya biashara katika ulimwengu wa sasa wenye ushindani mkubwa wa kufanya biashara.