Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
- #181
1.2M, 55" 4K UHDwale wa SAMSUNG tuwekee
Kama unauza in certificate of urgency punguza bei yaani vunja bei maana dukani bei zimekufa Sana
Mkuu hiyo ni Samsung 55" 4K, na bado kinanda (mpya kabisa ina 4 months na haina kipengele hata kimoja) mazungumzo pia yapo kama upo serious.Kama unauza in certificate of urgency punguza bei yaani vunja bei maana dukani bei zimekufa Sana
Ushauri tu
Sawa mkuu nimeshauri tuMkuu hiyo ni Samsung 55" 4K, na bado kinanda (mpya kabisa ina 4 months na haina kipengele hata kimoja) mazungumzo pia yapo kama upo serious.
Oya haka ka octa kakali au ni movie resolution ndio ime jipa?, Watu8, Selikavu, Mad Max, dosho12Octa Brand 55"View attachment 3435003
Nunua tujaribu kaka😃😃💣
Hii ni mali
Sina hela kaka 😂Nunua tujaribu kaka😃😃💣
Bei gani?