Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
-
- #221
Ushauri wako nimeufanyia kazi kiongozi, njoo na 1M uchukue mali.Kama unauza in certificate of urgency punguza bei yaani vunja bei maana dukani bei zimekufa Sana
Ushauri tu
Hapo sawa ,nasambaza kwa wadauUshauri wako nimeufanyia kazi kiongozi, njoo na 1M uchukue mali.
Samsung smart 4K, 55" UHD
Contact: 0620813101
View attachment 3437971View attachment 3437972View attachment 3437973
Poa poa mkuu.Hapo sawa ,nasambaza kwa wadau
Akipatikana mtu nakupigia tuzungumze
Ipo smart 4K 55 " UHD njoo nikuuzie mkuu.Aisee hii Samsung hii dah
Mkuu nimeona hapo juu tatizo ni dau hilo tu labda kama ungekuwa unapokea kwa install ment apo sawaIpo smart 4K 55 " UHD njoo nikuuzie mkuu.
Nicheki tuzungumze 0620813101Mkuu nimeona hapo juu tatizo ni dau hilo tu labda kama ungekuwa unapokea kwa install ment apo sawa
Chukua mali hiyoAisee hii Samsung hii dah