Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
-
- #61
Naam karibuHizi bei bado unatembea nazo mpaka sasa?
Mimi nauza kampuni za kichina tuNilitaka kupata elimu kidogo kabla ya kununua Tv. Mleta mada unaweza ukaweka hints za sifa, faida/hasara ya aina ya TV, kampuni kwa ulinganifu nk.
Mteja mzuri ni yule anayejua vyema bidhaa anayotaka kununua.