Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,540
- 8,256
OyeeeMimi nipo natamba zangu na Rising 32", mwaka umekata sasa na sijasumbuliwa na chochote. Mchina Oyee!!
OyeeeMimi nipo natamba zangu na Rising 32", mwaka umekata sasa na sijasumbuliwa na chochote. Mchina Oyee!!
Wanauza kiasi gani boss ili tujue yeye yupo juu , maana mi najua hiyo ndio bei za sokoni saivi na tena kuna zingine kupunguza zaidiDuh!!! Wenzio walishashusha bei za TV kitambo sana. We uko juu sana
Wafata upepo haoWanauza kiasi gani boss ili tujue yeye yupo juu , maana mi najua hiyo ndio bei za sokoni saivi na tena kuna zingine kupunguza zaidi
Hakuna kitu utaharibu ,Go onKuna sehemu, muanzisha thread kasisitiza kutoharibiana biashara. Ngoja nikae kimya nisiharibu biashara ya mtu hapa.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app