Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
- Thread starter
- #121
50 Solarmax smart 4K bei=630,000/=
Mbona TV zikiwa Dukani zinaonyesha picha nzuri tofauti ukiienda nayo nyumbani na kutumia kwenye kinga'muzi. Kwasababu nyinyi wauza TV madukani kwenu hamtumii ving'amuzi.Mimi nauza kampuni za kichina tu
Zingatia hizi tatu ukimhitaji mchina
hisense
tcl
haier
Mkuu mfano dukani kwetu tunazodisplay mara nyingi ni HISENSE 75"U8K, sasa wewe ukinunua 75” U4k lazima uone haina qualityMbona TV zikiwa Dukani zinaonyesha picha nzuri tofauti ukiienda nayo nyumbani na kutumia kwenye kinga'muzi. Kwasababu nyinyi wauza TV madukani kwenu hamtumii ving'amuzi.
Karibu sana mkuuNitakutafuta mkuu uniuzie moja !