Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma Waziri wa kuokotwa ni aibu kwa taifa. No one is coming out to explain why the internet tarrif have gone up. Yapoyapo tu yanazurura
Amesema hanunuliwi na serikaliWaziri anakenua sababu Vocha anawekewa ma serikali kiasi chochote anachotaka. Hawana kabisa uchungu na upandaji wa gharama za maisha.
Mbaya zaidi , vifurushi vyenyewe vya data Kama wanaiba vile , hakuna uhalisia kwenye zile mb's zinazotolewa bila Shaka huwa tunauziwa 700MB Kama 1GBKatika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.
Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).
Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!
View attachment 2400976
Ndio Burundi hununua Data kutoka Tanzania kuputia TTCL ambaye ndiye kakabidhiwa usimamizi wa mkongo wa taifa.Acha masikhara! Is this true???!!!! Ndio maana tuliambiwa tuhamie Burundi aiseee
Wakati uhalisia ni kwamba internet ni necessity hasa kwenye biashara.., tunarudisha nyuma sekta ya biasharaKuwa na internet kwa sasa ni kama anasa
Airtel pia wamepunguza.Yaani TIGO wamepunguza tena mb na dk aisee...
Ujue mkuu hili tatizo nimegundua ni la kijamii.Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.
Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).
Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!
View attachment 2400976
TUNAANDAMANA........LINI MKUUUjue mkuu hili tatizo nimegundua ni la kijamii.
Namaanisha waTz wote kwa ujumla wetu tunakubaliana na kuridhika na huu upumbafu, vjnginevyo isingewezekana.
"The late" hao aliwafukuza kama mbwa kwa kuona mapungufu yao kuwa hawafai hata kwa kulumangila, lakini twashangaa Serikali hiyo hiyo kulamba matapishi yake kwa kasi ya upepo baada ya mwamba kudanja, ni nini kilikuwepo mbele ya pazia!
Hapa nadhani wa kulaumiwa si Nape peke yake, ni cyndcate nzima ya Serikali iliyopo madarakani.
Angalia mgao wa umeme na maji unavyotukaanga!
Bidhaa madukani kupanda kila siku bila ya tamko la Waziri husika ama Rais kukemea!
Maana yake ni kwamba haya yote yanayofanyika sasa hivi kudhalilisha watu kwa kupandisha bei za bidhaa za vitu na mgao wa maji na umeme ni baraka za Serikali iliyopo madarakani.
Kwa yanayoendelea nchini ilitosha kwa waTz kwa ujumla wetu kusema "hapana" kwa serikali iliyopo madarakani, "hapana" kwa Chama tawala na "hapana" kwa vyama vya upinzani, maana navyo kama sauti yetu vimelambishwa asali na kunyamazishwa, sasa ni vya nini na vina msaada gani kwetu?
Navyodhani, tuendelee kukandamizwa sana zaidi ya hapa ili uovu zaidi uliojificha katika nafsi za viongozi hawa mumiani uudhi zaidi na kukera mioyo ya wajinga wenye mahaba niue kwa serikali iliyopo madarakani ili mwisho wa siku wajitambue tuweze kuongea lugha moja na kauli moja kudadadeki.
vocha wananunuliwa,umeme wanalipiwa,chakula,usafiri,wasaidizi wa kazi,kodi hawalipi ktk mshahara na marupurupu yao pia huo uchungu wautowe wapi?Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.
Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa huduma / bidhaa kukaa chini na kupanga bei kwa pamoja ya huduma /bidhaa husika, isipokuwa tu kwa maelekezo ya mamlaka husika ya usimamizi, (mfano EWURA anaweza akapanga bei kwa niaba ya wauza mafuta).
Wakati uvunjaji huu wa kanuni za FCC ukiendelea wazi wazi, mchana kweupe na waziri mwenye dhamana akikenua meno kama chizi kaona jalala jipya inatuvunja moyo wa Tz, tumepoteza moyo kabisa na tumaini halipo tena, inatufanya tuamini kwamba kuna mgao unatembea kama comission ya unyonyaji huu wa wazi wazi, haya ni matusi mazito kwa watu milioni 60, yaani hakuna hata tamko!!!??? Damn it!
View attachment 2400976
Ananunua mwenyewe kwa fedha anazopewa na Serikali.Amesema hanunuliwi na serikaliView attachment 2401011
Kikawaida maandamano kama hayo huanzishwa na viongozi hasa wa upinzani ama wanaharakati na sisi raia wapenda haki kuwasapoti na kuwapa shime kwa kuunga maandamano!TUNAANDAMANA........LINI MKUU
Asa na wewe upinzani wapase sauti wakiwa wapi? Ukiachana na hao wala mshahara wa bure (special seatz) kuna wabunge wangapi wa upinzani Bungeni?Kikawaida maandamano kama hayo huanzishwa na viongozi hasa wa upinzani ama wanaharakati na sisi raia wapenda haki kuwasapoti na kuwapa shime kwa kuunga maandamano!
Lakini sasa viongozi wote kwa ujumla wao tuliowategemea kuwa mstari wa mbele tayari walikwisha lambishwa asali na kuunga juhudi, nikimaanisha hakuna chama chochote cha upinzani Tz chenye mrengo wa kutetea maslahi ya Taifa ama raia wake kwa sasa, hakuna.
Wapenda maendeleo na wapenda haki, kipindi hiki ni kigumu sana kwetu kuwahi kushuhudiwa!
Hakuna kiongozi hata mmoja mwaminifu kuweza kumsadiki na kumwamini kumuuzia imani zetu, ni genge la wababaishaji watupu.
Uzuri ni kwamba Dunia hii ina mfumo rasmi usiobadilika kwa kila jambo hasa jambo ovu huwa halidumu milele, lipo leo na kesho litapita bila kujali litachukua muda gani.
Mkuu tusiongee mengi.Asa na wewe upinzani wapase sauti wakiwa wapi? Ukiachana na hao wala mshahara wa bure (special seatz) kuna wabunge wangapi wa upinzani Bungeni?
Naye kaanza kunyoa kipara ngoto!Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk.