- Thread starter
- #21
Serikali ni referee
Hilo ni kwa mabeberu tu ambako kina Liz Truss walikaa siku 45 ofisini na bado wakatoka kiroho safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ni referee
Mbona hujatuonyesha mchanganuo wa bei zilivyoshuka badala yake unaongea ujinga ujinga tuu.Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
View attachment 2588177
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Unga prices to drop from next week, President Ruto pledges
Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine) wanakodai kuwa hizi ni harakati za wajaluo au kuwa hata ni za kikabila, isipokuwa Tanzania. Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!
"Hivi pilipili usisozila zinakuwasha nini?"
Wakenya wana matatizo Yao wanayoyatambua. Kwamba ni yao na kuwa hawana mjomba wala shangazi wa kuwatatulia.
Wanajua mfumbuzi wa matatizo yao ni wao wenyewe. Hawatafuti visingizio, mchawi wala kujaribu kuyakimbia. Wanajua matatizo hukabiliwa, tena kwa vitendo si kwa maneno.
"Maneno matupu hayavunji mfupa."
Inafahamika kuwa hata huko walamba asali, wahuni na hata vijana wa hovyo wapo. Kwamba yaliyoko kwetu na kwao yapo. Hata hivyo ujasiri wa viongozi wao wenye misimamo isiyotetereka ni jambo la kupigiwa mfano sana.
Kushuka kwa bei za bidhaa muhimu Kenya ni kwa manufaa ya wakenya wote.
"Liko kama mtego wa panya wenye kunasa waliomo na wasiokuwamo."
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Mengine yote ni manjonjo tu.
Walaji hatuko tayari kuchukua hatua, kwa hiyo tuendelee kuumia wenyeweKufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
View attachment 2588177
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Unga prices to drop from next week, President Ruto pledges
Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine) wanakodai kuwa hizi ni harakati za wajaluo au kuwa hata ni za kikabila, isipokuwa Tanzania. Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!
"Hivi pilipili usisozila zinakuwasha nini?"
Wakenya wana matatizo Yao wanayoyatambua. Kwamba ni yao na kuwa hawana mjomba wala shangazi wa kuwatatulia.
Wanajua mfumbuzi wa matatizo yao ni wao wenyewe. Hawatafuti visingizio, mchawi wala kujaribu kuyakimbia. Wanajua matatizo hukabiliwa, tena kwa vitendo si kwa maneno.
"Maneno matupu hayavunji mfupa."
Inafahamika kuwa hata huko walamba asali, wahuni na hata vijana wa hovyo wapo. Kwamba yaliyoko kwetu na kwao yapo. Hata hivyo ujasiri wa viongozi wao wenye misimamo isiyotetereka ni jambo la kupigiwa mfano sana.
Kushuka kwa bei za bidhaa muhimu Kenya ni kwa manufaa ya wakenya wote.
"Liko kama mtego wa panya wenye kunasa waliomo na wasiokuwamo."
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Mengine yote ni manjonjo tu.
Sawa ni vitu viwili tafauti ila vinaweza husiana. Sera za fedha zinaendeshwa na serikali na benk kuu. Hizi sera hubadilika mara kwa mara kutokana na mabadiliko ya kiuchumi. Sera za fedha zinazopangwa na serikali huwa zinaegemea aidha katika kutanua au kupunguza matumizi ya serikali na kodi. Sasa kaka anapohusisha mfumuko wa bei na ubadhirifu, nahisi anaona matumizi ya serikali mengi yanaondoa pesa nyingi kwenye uchumi kuliko kuingiza na tatizo ndipo linapoanzia hapo. Mfano ruzuku ni moja kati ya matumizi ya serikali ili kusudu bei kutengemaa, ila unakuta matumizi hayaendi kwenye ruzuku badala yake unakuta mabillion ya pesa yamepotelea kusikojulikana na kuacha uchumi katika hali tata. Hizo pesa zinavuja kwenye uchumi bila mantiki zingetumika kwenye ruzuku kwenye suala la chakula bei zingeshuka.Jibu hoja usi attack personality. Ubadhirifu ni jambo moja na inflation ni lingine. Tuna kazi kubwa sana kama taifa kuutokomeza ujinga
Tatizo ni fita vya ukreini mkuu!!Kufuatia maandamano ya kizalendo Kenya, serikali ya huko, imeamua kushusha bei za vyakula.
View attachment 2588177
Upinzani unataka bei ya unga kwa kilo isizidi 2,000/- za kitanzania, vinginevyo wanarudi Tahrir.
Unga prices to drop from next week, President Ruto pledges
Hakuna mahali popote Kenya (au kwingine) wanakodai kuwa hizi ni harakati za wajaluo au kuwa hata ni za kikabila, isipokuwa Tanzania. Maana kamili ya kuwa mtanzania ni mjuaji mno!
"Hivi pilipili usisozila zinakuwasha nini?"
Wakenya wana matatizo Yao wanayoyatambua. Kwamba ni yao na kuwa hawana mjomba wala shangazi wa kuwatatulia.
Wanajua mfumbuzi wa matatizo yao ni wao wenyewe. Hawatafuti visingizio, mchawi wala kujaribu kuyakimbia. Wanajua matatizo hukabiliwa, tena kwa vitendo si kwa maneno.
"Maneno matupu hayavunji mfupa."
Inafahamika kuwa hata huko walamba asali, wahuni na hata vijana wa hovyo wapo. Kwamba yaliyoko kwetu na kwao yapo. Hata hivyo ujasiri wa viongozi wao wenye misimamo isiyotetereka ni jambo la kupigiwa mfano sana.
Kushuka kwa bei za bidhaa muhimu Kenya ni kwa manufaa ya wakenya wote.
"Liko kama mtego wa panya wenye kunasa waliomo na wasiokuwamo."
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Mengine yote ni manjonjo tu.
Wewe nawe ni griti thinka ,Jibu hoja usi attack personality. Ubadhirifu ni jambo moja na inflation ni lingine. Tuna kazi kubwa sana kama taifa kuutokomeza ujinga
Mkuu haupo sahihi na MIXOLOGIST amekujibu vizuri tu. Wewe unapinga for the sake of kupinga na una cherry pick data.
Yapo mataifa ambayo yamehandle huu mfumuko vizuri ila Kenya si mmoja wapo na Serikali hapa Tz imejitahidi sana.
Wakati wao hata hela ya kulipa mishahara hawana sisi tunatangaza ajira mpya. Kuna maelfu ya bidhaa ni Bei rahisi zaidi Tanzania kuliko Kenya, Petroli tu haijawahi kushuka Equivalent ya 3000 huku Kwetu kipindi cha karibuni.
Hivi bei za bidhaa zinawekwa na nguvu ya soko (market forces) au matamko ya kisiasa?
Shida kubwa ninayoiona kwenu mnadhani ripoti ya CAG ni hukumu ya mahakama. CAG ana ainisha maeneo yenye udhaifu katika matumizi ya pesa za umma na hiyo report yake siyo conclusive proof that pesa za umma zimeibiwa, sometimes, maelezo yakitolewa hizo hoja zina kufa. Tuanzee kutoa huu ujinga kwanza.Wewe nawe ni griti thinka ,
Hivi hujui huo ufisadi unaofanywa ndio unaokoleza hali ngumu ,au haujui kwamba serikali inawajibu wa kupunguza tozo za bidhaa ili kuleta ahueni kwa mwananchi,
Chawa mnatia aibu sana
Huyo wala hajielewi, wala haelewi kinachoendelea Kenya zaidi ya kuokoteza story tuHivi bei za bidhaa zinawekwa na nguvu ya soko (market forces) au matamko ya kisiasa?
Kuna gap kubwa sana la knowledge kati yangu na yako. Huu mchezo hautaki hasira, nadhani unywe dawa za kupunguza stress and anxiety.Umesema:
"Mkuu haupo sahihi na MIXOLOGIST amekujibu vizuri tu."
Swali ni kuwa, wapi aliponijibu huyo nduguyo unapoparejea? Kwa maana hata wewe umeandika ukiwa unanijibu mimi, kwenye nilichokuwa nimeandika kukazia alichoandika mjumbe Shilingii siyo huyo mburula MIXOLOGIST.
Au ndiyo kuweweseka kwenyewe huku ndugu?
Kwani wale vijana wa hovyo ni mmoja? Kwa mwendo huu usiokuwa na dira Wala mwelekeo Kwa nini na wewe usiwe mmoja wao?
Wapi niliposema Kenya wame handle mfumuko vizuri? Au wapi ninaongelea handling ya mfumuko wa bei for that matter?
Maajabu ya Mussa!
Ruto, Rigathi, Mudavadi get Sh802m for new cars | Business Daily
Kumbe hata huelewi kuna mada gani mezani? Hivi hata umeelewa kuwa bei zinashuka huko kwa shinikizo la wananchi? Unaelewa tofauti ya huko na kwetu kuwa ni uwepo ujuaji uchwara uliopitiliza kama wenu na nduguyo hapo hata Kwa msiyoyajua?
Kwani kwetu hatujui bei za vyakula ziko juu? Hatujui madhara ya wizi au ubadhirifu kuhusiana na bei hizi? Ila kwetu unaona tuko vizuri? Kwenye lipi?
View attachment 2588234
Si kuwa haya yanaendelea na kuathiri uchumi wetu huku yakiwa na baraka zote za wahuni, walamba asali na wale vijana wa hovyo kama ninyi?
Kwa hakika hamna mchango wowote kwa taifa hili.
Bure kabisa!
Naomba nikuulize swali moja tu, huiamini nguvu ya umma kwenye kuleta mabadiliko?Mkuu haupo sahihi na MIXOLOGIST amekujibu vizuri tu. Wewe unapinga for the sake of kupinga na una cherry pick data.
Yapo mataifa ambayo yamehandle huu mfumuko vizuri ila Kenya si mmoja wapo na Serikali hapa Tz imejitahidi sana.
Wakati wao hata hela ya kulipa mishahara hawana sisi tunatangaza ajira mpya. Kuna maelfu ya bidhaa ni Bei rahisi zaidi Tanzania kuliko Kenya, Petroli tu haijawahi kushuka Equivalent ya 3000 huku Kwetu kipindi cha karibuni.
Watoto hawa ni vilaza sanaHuyo wala hajielewi, wala haelewi kinachoendelea Kenya zaidi ya kuokoteza story tu
Mambo ya kitaalamu hayaitaji msuli, umma usiotumia akili, unaweza kutumiwa na wanasiasa for their own political mileage or gainNaomba nikuulize swali moja tu, huiamini nguvu ya umma kwenye kuleta mabadiliko?
Mimi ndiyo elimu yenyewe, kama utaki andamana kama baba yako Odinga
Matokeo gan?i lile lizee ni li jinga sanaBora odinga kaandamana na matokeo yameonekana.