Bei za Tanzania kuwa chini kuliko Kenya Si sababu,Wewe umeleta hoja simamia kwenye Hoja yako, unapoleta msururu wa hoja nyengine unakuwa hater kama hater wengine tu.
Na heading ya Uzi wako unasema vitu kushuka Kenya sisi tunakwama wapi?
Jibu na mimi nakupa Kwetu vitu ni bei rahisi kuliko Kenya.
Karibu tuendeleze mada
Ziko factors zinazoweza sababisha Kenya Bei kuwa juu na Bado wao wakaweza kununua kirahisi bidhaa kulingana na PURCHASING POWER Yao kuwa juu kuliko yetu Bei ambapo ni down.
Mfano Arusha Bei ziko juu za vyakula bt Kuna mzunguko mkubwa wa dollar sababu ya Utalii hivyo wanamudu kununua Kwa Bei ya juu bila kuuumia.
Bei ya UNGA ilikuwa 1000 Kwa kilo hapa Tanzania, hivyo kupanda Hadi 2000 Bado ni maumivu Kwa Watanzania sababu ya purchasing power yetu kuwa chini sababu ya mzunguko ndogo wa biashara na fursa za kiuchumi.
So Tanzania pia tunatakiwa kuandamana Bei irudi 1000 Ili wananchi wamudu gharama za maisha.
Hatupasi kujilinganisha na Kenya ambayo nusu ya nchi ni JANGWA, hawalimi sana kama kwetu.