Afadhali vishuke maana mhhh!!Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Shinyanga mchele mzuri tu unapata kwa 1800Wapi huko tuje maana sie bado tunanua mchele 3500
Ningepata hela ninunue then ili baadae nipate hapo faida,daaaaKwa msiojua kipindi hiki ni cha mavuno, msishangilie sana. Huku niliko mchele kilo moja ni 1700 mpaka 1600.
Ikifika mwezi wa 8 hadi wa 12 mje mlete mrejesho kama kilo ya mchele haitakuwa ni sh.4500/=[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji yako gharama za vyakula utajulia wapiNdugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Bado uko juuu,Mimi nilifikiri kwanza utakuwa km 1800Mimi Mwanza nimenunua mchele kg 2000 nikashangaa, maana Bei ilikua 2900 nikahisi hiyo Bei ya sokoni tu, nimeulizia Jana dukani hapa mtaani Bei hiyohiyo 2000 per kg
Sasa utauliza vipi sahani ya msosi unaotengewa kwa shemeji yakoMI siulizagi bei napimiwa mzigo nnaotaka namuuliza jumla unanidai sh ngapi, imeisha hiyo. Mambo ya kukalkuleti mpaka bei ya nusu kibaba cha mafuta nikuikaribisha roho ya umaskini.
Tumia ikiisha mnashinda njaa, kufunga sunna sio mpaka uuone mwezi
Ukinunua kilo mojamoja huku mtaani Bei Ni 2000 Ila ukienda sokoni hasa kisesa kule mashineni lazima wa 1800 upateBado uko juuu,Mimi nilifikiri kwanza utakuwa km 1800
Shangilia tuu, November sio mbali au mkitoka kuhiji maana saiizi ni msimu wa mavunoNdugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Yaani ndo muda wenyewe huuNingepata hela ninunue then ili baadae nipate hapo faida,daaaa
Hata sijakuelewa unamaanisha nini au umeamua kunijia na I'D tofautiSasa utauliza vipi sahani ya msosi unaotengewa kwa shemeji yako
We mjinga huna hata elimu. Kazi kusifu upuuzi tu.Juhud za Rais wetu, nyie misukule wa magufuli simlikuwa mnasema Samia kapandisha bei ya vyakula
Karatu mchele wa kahama 2500 kg 1,Mahindi debe yakivunwa mwezi huu 7000 debe,issue ni nyama,kg 1 9000,watu wa Arusha wanapenda nyama zaidi ya papuchiiNdugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.
Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.
Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.
Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.
Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
SawasawaUkinunua kilo mojamoja huku mtaani Bei Ni 2000 Ila ukienda sokoni hasa kisesa kule mashineni lazima wa 1800 upate
Ngoja nipambane mkuuYaani ndo muda wenyewe huu