Bei za vyakula yashuka nchini

Bei za vyakula yashuka nchini

Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.

Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.

Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.

Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.

Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Afadhali vishuke maana mhhh!!
Huku mchele 2600
 
Kwa msiojua kipindi hiki ni cha mavuno, msishangilie sana. Huku niliko mchele kilo moja ni 1700 mpaka 1600.

Ikifika mwezi wa 8 hadi wa 12 mje mlete mrejesho kama kilo ya mchele haitakuwa ni sh.4500/=[emoji23][emoji23][emoji23]
Ningepata hela ninunue then ili baadae nipate hapo faida,daaaa
 
Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.

Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.

Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.

Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.

Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji yako gharama za vyakula utajulia wapi
 
Mimi Mwanza nimenunua mchele kg 2000 nikashangaa, maana Bei ilikua 2900 nikahisi hiyo Bei ya sokoni tu, nimeulizia Jana dukani hapa mtaani Bei hiyohiyo 2000 per kg
Bado uko juuu,Mimi nilifikiri kwanza utakuwa km 1800
 
MI siulizagi bei napimiwa mzigo nnaotaka namuuliza jumla unanidai sh ngapi, imeisha hiyo. Mambo ya kukalkuleti mpaka bei ya nusu kibaba cha mafuta nikuikaribisha roho ya umaskini.
Tumia ikiisha mnashinda njaa, kufunga sunna sio mpaka uuone mwezi
Sasa utauliza vipi sahani ya msosi unaotengewa kwa shemeji yako
 
Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.

Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.

Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.

Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.

Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Shangilia tuu, November sio mbali au mkitoka kuhiji maana saiizi ni msimu wa mavuno
 
Sasa utauliza vipi sahani ya msosi unaotengewa kwa shemeji yako
Hata sijakuelewa unamaanisha nini au umeamua kunijia na I'D tofauti
Shida ya wa bongo mkipishana point of view kosa. Ningekuwa Nala kwa shemeji hata hii post nisingekoment coz isingenihusu, ndo kwanza Juzi hapa Nimehemea mahitaji ya nyumbani kwa bei Ile Ile ya sikuzote afu mtu analeta porojo porojo zake eti nimuunge mkono, sipo hivyo
 
Juhud za Rais wetu, nyie misukule wa magufuli simlikuwa mnasema Samia kapandisha bei ya vyakula
We mjinga huna hata elimu. Kazi kusifu upuuzi tu.

Huyo rais wako ndiyo kalima huo mpunga? Uliza maumivu waliyo nayo wakulima wa alizeti nchini.

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Vitunguuu vimeanza kupanda bei na Sasa kilo 2,000-2500 / sado 7,500-8,500 soko la Mawenzi Morogoro
Mwaka Jana walolima walipata hasara, hawalima mwaka huu.
 
Ndugu zangu leo nimestaajabu pale wife aliponiambia, mchele sasa hivi kg moja inaanzia 2400 kwa kilo hadi 3000.

Tofauti na hapo awali bei ilikuwa inaanzia 2800 hadi 3500 kwa kilo.

Mafuta ya kupikia nayo yameshuka kutoka 4500 kwa lita hadi 3800.

Maharage na mahindi nayo yamashuka kwa kiwango kikubwa.

Vipi ndugu zangu huko mlipo bei zipoje?
Karatu mchele wa kahama 2500 kg 1,Mahindi debe yakivunwa mwezi huu 7000 debe,issue ni nyama,kg 1 9000,watu wa Arusha wanapenda nyama zaidi ya papuchii
 
Hapa moshi mjini , mambo ni mambo , bei ni ile ileeeee. No kushuka
 
Back
Top Bottom