...Samwel Mwale (TZ) anatafuta qualification ya 800m ni heat 1 round 3
Joseph Mungai`s critics say he is behind the downfall of the education sector in Tanzania arguing that the radical change of syllabus for primary schools in the country immediately after he left the ministry was proof of that.
Even the elimination of sports in schools which he spearheaded was to many a flop arguing that it has made many students lose interest in school.
The energetic Mungai (65) does not mince his words when responding to his critics.
He cites the abolition of secondary school games competitions (UMISETA) and primary school games competitions (UMITASHUMTA).
``This was to pave way for the introduction of basic subjects in primary schools after discovering that the hours spent in games were more than those spent on academic subjects,`` he says.
...And on the abolition of agriculture and vocational training subjects, Mungai says his ministry did so in order to strengthen the teaching of basic academic subjects such as English, Mathematics and Science.
``Our survey indicated that many students were rather weak in most academic subjects and we had to do something to arrest the situation,`` Mungai explained.
200m fainali katika saa limoja lijalo......
Muda wake mzuri ni ule wa 1:45.52, aliposhika nafasi ya pili katika Brazil Grand Prix....his time, 1:50:67
...ama kweli, ng'ombe wa masikini hazai...anyway, nasi waTz tulishiriki Olimpiki 2008!
World Record... Bolt
Kijana amerudisha michezo huu kuwa ni pamoja na kufurahi... Uwanjani ni dancehall kuzindikiza ushindi wakeTold you so! He is Superman!!!
Wadau,
Mimi mgeni. Kwa hiyo naomba kwanza mnikaribishe. Asanteni. Ninaamini ni mshiriki Mzee kuliko wote na ndio maana naitwa Mwalimu Jr. kwa heshima ya babu yenu ambaye nitanza kila ninaloweza kumuiga na kuishi kama yeye ikiwa ni pamoja na kufa masikini lakini mwenye heshima kila pembe duniani.
Kwa leo niwazungumzie haya [yataendelea kwa muda kidogo unless mseme ninawachosha!]
Maumivu ya Kutazama Beijing Olympic 2008
NINAAMINI kuwa kila Mtanzania aliyewahi kutazama michuano ya Olympiki huko Beijing, Jamhuri ya Watu wa China kwa hakika ameathirika na maumivu ya fikira na mawazo kuhusu ni nini hatima ya vijana wetu na michezo hapa Tanzania.
Kwa kutambua hili nimeonelea nisipige stori kama jamaa zetu wa vijiweni au nisitafute ushindi bila mazoezi au kuonesha ushindani wa uhakika kama vifanyavyo vyombo vyetu vya habari bali nimtwange mhusika kwa mwiko au mtwangio kichwani papa hapa!
Tatizo letu ni siasa la bei rahisi. Kwamba anaweza akazuka Waziri mmoja tu huko anakotoka akapiga michezo marfuku kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe au akazuia watu wasifunzwe uhasibu, menejimenti na biashara kwa kuwa tu kaagizwa na boi wa balozi wa majuu basi inakuwa amri na mawaziri na wabunge wote na wanasiasa wa chama twawala na vile vya twaliwa wakakaa kimya yatia maumivu na huzuni si haba mwanangu.
Mwaka 2009 ndio huo unabisha hodi. Basi tunawaomba wabunge waache kiherehere na kuzungumza yaliyokuwa yanatakiwa yazungumziwe katika mabunge ya vijiji, wilaya na mikoa katika bunge la taifa sasa wajiangalie upya na kujipanga kitafakuri na kimkao wa kuwafaa Watanzania na sio wa kuwa mzigo kwa Watanzania.
Kwalo hilo mimi kama Mwalimu Jr. ninaamrisha kwamba kuanzia mwaka ujao 2009 kila kata, tarafa, wilaya na mkoa lazima uwe na mashindano ya michezo yote inayofanyika katika Olympiki. Haya yataendelea hadi Januari 31, 2012 tutakapokuwa na mashindano makubwa ya kitaifa kwa ajili ya kujiandaa kupeleka sio chini ya Wachezaji 150 huko London kwa Mashindano ya Olympiki 2012.
Kama una kiu ya kujua kama hili kweli linawezekana au haliwezekani basi nifuatie mimi Mheshimiwa nisiyejulikana, yaani, Mwalimu Jr. Kama wewe ni fisadi fullstop unless umeamua kujenga shule ya msingi au sekondari ya michezo katika jimbo ninalotokea.
[Tutaendelea Inshallah!]
Karibu sana Kamanda Mwl. JrWadau,
Kwa kutambua hili nimeonelea nisipige stori kama jamaa zetu wa vijiweni au nisitafute ushindi bila mazoezi au kuonesha ushindani wa uhakika kama vifanyavyo vyombo vyetu vya habari bali nimtwange mhusika kwa mwiko au mtwangio kichwani papa hapa!
Kwalo hilo mimi kama Mwalimu Jr. ninaamrisha kwamba kuanzia mwaka ujao 2009 kila kata, tarafa, wilaya na mkoa lazima uwe na mashindano ya michezo yote inayofanyika katika Olympiki. Haya yataendelea hadi Januari 31, 2012 tutakapokuwa na mashindano makubwa ya kitaifa kwa ajili ya kujiandaa kupeleka sio chini ya Wachezaji 150 huko London kwa Mashindano ya Olympiki 2012.
Kama una kiu ya kujua kama hili kweli linawezekana au haliwezekani basi nifuatie mimi Mheshimiwa nisiyejulikana, yaani, Mwalimu Jr.......
[Tutaendelea Inshallah!]
Huyu Bolt ni noma kweli, hapa Marekani lazima wakajipange upya vinginevyo medali za mbio fupi zitakuwa za Jamaika tu.
Baada ya kuvunja rekodi jumamosi katika 100m, hiki ndio kilifuatia:ngoja nao wakapimwe....ndo utaujua ukweli