*Beijing Olympics 2008*

*Beijing Olympics 2008*

Zakia M. Mrisho nae ametolewa kwenye mbio za mita 5000 baada ya kumaliza akiwa katika nafasi ya 12
 
Samwel Mwale (TZ) anatafuta qualification ya 800m ni heat 1 round 3
 
...Samwel Mwale (TZ) anatafuta qualification ya 800m ni heat 1 round 3

...his time, 1:50:67

...ama kweli, ng'ombe wa masikini hazai...anyway, nasi waTz tulishiriki Olimpiki 2008!
 
samwel nae ametokea wa mwisho katika heat yake!!
 
Samwel Mwera ameshindwa vibaya mno, ameshika nafasi ya mwisho katika heat yake akiachwa zaidi ya mita 50 na mtu wa pili toka mwisho!
 
nani kichwa cha mwendawazimu?

Joseph Mungai`s critics say he is behind the downfall of the education sector in Tanzania arguing that the radical change of syllabus for primary schools in the country immediately after he left the ministry was proof of that.

Even the elimination of sports in schools which he spearheaded was to many a flop arguing that it has made many students lose interest in school.

The energetic Mungai (65) does not mince his words when responding to his critics.

He cites the abolition of secondary school games competitions (UMISETA) and primary school games competitions (UMITASHUMTA).

``This was to pave way for the introduction of basic subjects in primary schools after discovering that the hours spent in games were more than those spent on academic subjects,`` he says.

...No wonder we are so poor in Sports, Agriculture and Vocational training, while most of the well groomed 'academics' have either left the country for greener postures abroad, or have turned into politicians kama Mungai!

...And on the abolition of agriculture and vocational training subjects, Mungai says his ministry did so in order to strengthen the teaching of basic academic subjects such as English, Mathematics and Science.

``Our survey indicated that many students were rather weak in most academic subjects and we had to do something to arrest the situation,`` Mungai explained.
 
200m fainali katika saa limoja lijalo......

It is almost foregone conclusion!!! Usain Bolt will set another world record unless the unexpected happens like injury etc, (god forbid) stay tuned and witness history in the making!!!
 
...his time, 1:50:67

...ama kweli, ng'ombe wa masikini hazai...anyway, nasi waTz tulishiriki Olimpiki 2008!
Muda wake mzuri ni ule wa 1:45.52, aliposhika nafasi ya pili katika Brazil Grand Prix.
Leo alikuwa anakimbia kama vile amevimbiwa, inaonekana alikuwa ametoka kufakamia msosi muda mfupi kabla ya heat kuanza! yaani alikuwa anatia huruma sana.

Kule Athens(2004) alifika nusu fainali kwa kutumia muda wa 1:46.29. Hivyo basi kwa muda aliotumia leo, hapana shaka kuwa ameshachoka kukimbia, ingawa bado kijana.
 
Kwa nini tunaendelea kupeleka wanamichezo wetu katika mashindano makubwa wakati tunajua hakuna tamaa ya ushindi? Ingalikuwa vyema iwapo hela tunayopoteza kushiriki kwa kusindikiza, tukaiwekeza kwa kuwaandaa vipaji vya utotoni (sports academies) Facilities za wanamichezo wetu ni mbovu sana.
Dunia imeenda mbele sana wakati sisi bado tumeganda kwenye miaka ya sabini!!! Leo hii hakuna kitu kama kushinda kwa bahati hizo zama za kina Bayi na Nyambui zimekwisha!! mtu sijui mwanajeshi part-time athelete ashinde olympic? sio rahisi, wenzetu hizi ni kazi zao, Michael Phelps anasema maisha yake ni ' Eat, Train, Sleep' takriban hawa atheletes wengi wanaoshinda maisha yao ni hivo. Sasa kama sisi tunadhani tunaweza kushinda kwa miujiza ama JUJU basi tutaendelea kusindikiza tu.
 
Huyu Bolt ni noma kweli, hapa Marekani lazima wakajipange upya vinginevyo medali za mbio fupi zitakuwa za Jamaika tu.
 
19.30 sec...Leo Bolt amekimbia hadi mwisho. Naona alikamia kuweka rekodi mpya... Hongera kwake. Kwani aliaanza kushangilia baada ya kuangalia muda aliotumia
 
Wadau,

Mimi mgeni. Kwa hiyo naomba kwanza mnikaribishe. Asanteni. Ninaamini ni mshiriki Mzee kuliko wote na ndio maana naitwa Mwalimu Jr. kwa heshima ya babu yenu ambaye nitanza kila ninaloweza kumuiga na kuishi kama yeye ikiwa ni pamoja na kufa masikini lakini mwenye heshima kila pembe duniani.

Kwa leo niwazungumzie haya [yataendelea kwa muda kidogo unless mseme ninawachosha!]

Maumivu ya Kutazama Beijing Olympic 2008

NINAAMINI kuwa kila Mtanzania aliyewahi kutazama michuano ya Olympiki huko Beijing, Jamhuri ya Watu wa China kwa hakika ameathirika na maumivu ya fikira na mawazo kuhusu ni nini hatima ya vijana wetu na michezo hapa Tanzania.

Kwa kutambua hili nimeonelea nisipige stori kama jamaa zetu wa vijiweni au nisitafute ushindi bila mazoezi au kuonesha ushindani wa uhakika kama vifanyavyo vyombo vyetu vya habari bali nimtwange mhusika kwa mwiko au mtwangio kichwani papa hapa!

Tatizo letu ni siasa la bei rahisi. Kwamba anaweza akazuka Waziri mmoja tu huko anakotoka akapiga michezo marfuku kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe au akazuia watu wasifunzwe uhasibu, menejimenti na biashara kwa kuwa tu kaagizwa na boi wa balozi wa majuu basi inakuwa amri na mawaziri na wabunge wote na wanasiasa wa chama twawala na vile vya twaliwa wakakaa kimya yatia maumivu na huzuni si haba mwanangu.

Mwaka 2009 ndio huo unabisha hodi. Basi tunawaomba wabunge waache kiherehere na kuzungumza yaliyokuwa yanatakiwa yazungumziwe katika mabunge ya vijiji, wilaya na mikoa katika bunge la taifa sasa wajiangalie upya na kujipanga kitafakuri na kimkao wa kuwafaa Watanzania na sio wa kuwa mzigo kwa Watanzania.

Kwalo hilo mimi kama Mwalimu Jr. ninaamrisha kwamba kuanzia mwaka ujao 2009 kila kata, tarafa, wilaya na mkoa lazima uwe na mashindano ya michezo yote inayofanyika katika Olympiki. Haya yataendelea hadi Januari 31, 2012 tutakapokuwa na mashindano makubwa ya kitaifa kwa ajili ya kujiandaa kupeleka sio chini ya Wachezaji 150 huko London kwa Mashindano ya Olympiki 2012.

Kama una kiu ya kujua kama hili kweli linawezekana au haliwezekani basi nifuatie mimi Mheshimiwa nisiyejulikana, yaani, Mwalimu Jr. Kama wewe ni fisadi fullstop unless umeamua kujenga shule ya msingi au sekondari ya michezo katika jimbo ninalotokea.

[Tutaendelea Inshallah!]
 
Karibu sana mkuu.,,,pole ana kwa maumivu....Hata hivyo ni maumivu ya kujitakia maana tulipeleka timu bila maandalizi yoyote,,,,hatukwenda kushindana tulikwenda kushiriki
 
Wadau,

Kwa kutambua hili nimeonelea nisipige stori kama jamaa zetu wa vijiweni au nisitafute ushindi bila mazoezi au kuonesha ushindani wa uhakika kama vifanyavyo vyombo vyetu vya habari bali nimtwange mhusika kwa mwiko au mtwangio kichwani papa hapa!

Kwalo hilo mimi kama Mwalimu Jr. ninaamrisha kwamba kuanzia mwaka ujao 2009 kila kata, tarafa, wilaya na mkoa lazima uwe na mashindano ya michezo yote inayofanyika katika Olympiki. Haya yataendelea hadi Januari 31, 2012 tutakapokuwa na mashindano makubwa ya kitaifa kwa ajili ya kujiandaa kupeleka sio chini ya Wachezaji 150 huko London kwa Mashindano ya Olympiki 2012.

Kama una kiu ya kujua kama hili kweli linawezekana au haliwezekani basi nifuatie mimi Mheshimiwa nisiyejulikana, yaani, Mwalimu Jr.......

[Tutaendelea Inshallah!]
Karibu sana Kamanda Mwl. Jr
Awali ya yote naona wewe ndie unaleta hadithi za vijiweni, maskani na kwenye baraza za kahawa. Naona vilevile una jipya katika kuchangia sekta hii ya michezo upo sawa kabisa na wanasiasa wote wa hapo Tz.

Haingii akilini kusema kuwa Watz waweze kushiriki michezo yote inayochezwa kwenye olimpiki. Hilo kwa sasa na kwa miaka 50 ijayo hatilawezekana.

Michezo hii ukiangalia kwa kina mengine inaendana na tamaduni fulani, ambazo hapa Tz hakuna na hakuna hata mwenye hamu ya kujifunza kwa sasa. Ingawa hilo linawezekana lakini litachukua muda mrefu kufanikiwa.

Cha msingi jaribu kupitia michezo ambayo Tanzania kwa kiasi fulani iliweza kufanya vizuri miaka ya nyuma kuanzia Michezo ya Majeshi, All African Games, World Games, Commonwealth Games na Olympic. Baada ya hapo jaribu kuangalia michezo yenye kutoa fedha kubwa kubwa ambayo Watz wameweza kushinda, Boston Marathon, Osaka n.k mwishoe pitia hizi Grand Prix ambazo zinafanyika kila mwaka na watz wamekuwa wakishiriki na kufanya vizuri tu kiasi ya michezo hiyo sasa kutumika kama chujio la kushiriki michezo kama Olympic. Baada ya hapo ndio uje na amri zako...

Karibu sana...
 
ngoja nao wakapimwe....ndo utaujua ukweli
Baada ya kuvunja rekodi jumamosi katika 100m, hiki ndio kilifuatia:
Bolt left the Bird's Nest on Saturday with his team-mates, aboard the athletes' bus with the sport still buzzing about his performance.

The Jamaicans have, however, been at the centre of the intensive drug-testing regime during these Olympics. Bolt's test after his victory was his seventh since he arrived and officials within the Jamaican camp were known to be unhappy about the scrutiny their athletes had come under.

Don Anderson, the chef de mission, said the team had endured an "extremely unusual" number of drug tests in Beijing. Speaking before the start of the athletics programme, he said the team had been tested 32 times in five days.
There were doubts expressed before the Games that Jamaica did not have an independent anti-doping agency but the worries were dismissed by the team's chief medical officer, Herb Elliott. "I don't care about the rumours," he said. "Usain has been tested over and over again.

"I say to them to come down, come down and see our programme, come down and see our testing and see how we operate."

Jamaa anakimbia 'clean race' ingawa wamarekani hawapendi kukubali , kwao wao huwezi kushinda Sprints bila kutumia mihadharati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom