*Beijing Olympics 2008*

*Beijing Olympics 2008*

Bofya hapa.

Usain Bolt glided to a new world record as he produced a stunning run in the Olympic 100m final. Bolt was well clear at 60m and although he eased down and started to celebrate 15 metres from the line he still set a new mark of 9.69 seconds.

Richard Thompson finished second while American Walter Dix came third but they were yards behind the Jamaican. "I wasn't worried about the world record. I didn't know it until I'd done my victory lap," Bolt told BBC Sport... ...
 
bolt16_556578a.jpg
 
Tyson Gay ameshinwa kuingia katika fainali za mita mia....

mkuu sasa hii ndo inaniaminisha kuwa hakuna dola isiyo na mwisho...
i cant believe kuwa sasa wamarekani hata mita 100 tunabuluzwa duuuuh!!!!!
 
Leo Watanzania watatu wanaingia kwenye fainali ya mita 10,000 baadae usiku kwa saa za Afrika Mashariki..
Wakimbiaji hao ni
  • Joseph F. Naasi
  • Samwel Shauri
  • Marwa D. Mkami

Kila la heri Tanzania
 
Last edited:
Kheeeee heeeee heeeeee.. Tafsiri yako imekaa kisiasa zaidi!
Nahisi walizidi kutumia madawa....

mkuu kibunango
sikushauri kuwacheka wanyamwezi eti kisa walitumia madawa na sasa hawafanyi vizuri.
madawa hayana mwenyewe sheikh...usishangae wakikurupushwa hao unaowaamini wakawa wanatumia madawa...isiyokuwasha hujailamba
 
mkuu kibunango
sikushauri kuwacheka wanyamwezi eti kisa walitumia madawa na sasa hawafanyi vizuri.
madawa hayana mwenyewe sheikh...usishangae wakikurupushwa hao unaowaamini wakawa wanatumia madawa...isiyokuwasha hujailamba
Kamanda,
Ni miaka 20 sasa tokea kushuhudia fastest man on earth, hakuwa mwingine bali ni Ben Johnson, na alikimbia kwa sekunde 9.79, njemba fupi na iliyojaza. Rekodi hiyo haikutambuliwa kutokana na kutumia madawa.

Tokea miaka hiyo wimbi la madawa likawa kubwa na wengi walioingia kwenye mkumbo huo ni hao Wanyamwezi. Makocha wengi wa mbio fupi wakatafuta watu wafupi na waliojaza ili kukimbia mbio fupi.

Usain sasa amebadilisha historia yote ya mbio fupi, akiwa na urefu wa 6ft 5in ameweza kuweka rekodi mpya ya dunia kwa kukimbia mita 90 tu... Sijui siku atakayokimbia mita 100 itakuaje!

Wanyamwezi sasa mkimbilie kwenye genetic engineering ili muweze kutoa mnyamwezi wa kushindana na Usain Bolt.
 


1218959955441.JPEG




Phelps Wins His Incredible Eighth
 
Soon Wtz wanatupa karata zao kwenye 10,000m final... Kumbe Gebrselassie Haile anashiriki mbio hizi...
 
Bado lap 6.. na dalili ni ndogo mno ya kupata medali, Mtz wa kwanza yupo nafasi 9 sasa...
 
eBwana hao wa Ethiopia wanakimbia sana. Hakuna Medali yetu zote wamesha chukua labda marathon tarehe 24 Aug.
 
eBwana hao wa Ethiopia wanakimbia sana. Hakuna Medali yetu zote wamesha chukua labda marathon tarehe 24 Aug.
Imesikitisha sana, walikuwa wakimbiaji 3 katika fainali, lakini kila mmoja alikimbia kivyake vyake, Ethopia, Eritrea na Kenya walionekana kama wana team work pale
 
LOL! it wasn't even close.

The Ethiopians are slowly dethroning the Kenyans as the Kings of Long Distance running. Once they start concentrating on the Marathon and Steeplechase the Kenyans will be toast.

What is it that we lack. It's obviously not money because the Ethiopians and Kenyans don't have much either. It's not environment, climate etc because ours is pretty similar to theirs. So what is it?

Again i think it comes down to poor leadership and general incompetence. Something we seem to be very good at.

Two of our guys put on a galant effort and looked like they were giving it thier all. The third guy was basically out of the race after the first three laps. Sad.
 
Imesikitisha sana, walikuwa wakimbiaji 3 katika fainali, lakini kila mmoja alikimbia kivyake vyake, Ethopia, Eritrea na Kenya walionekana kama wana team work pale

Exactly!!!!!!!

I'll say it again, if there was a medal for poor leadership and incompetence we would win the gold.
 
LOL! it wasn't even close.


Two of our guys put on a galant effort and looked like they were giving it thier all. The third guy was basically out of the race after the first three laps. Sad.

  • Naasi F. Joseph - nafasi ya 9.- Muda: 27:25:33
  • Mkami D. Marwa - nafasi ya 14.- Muda: 27:48:03
  • Shauri Samwel - nafasi ya 21. -Muda: 28:06:26
 
Pesa yote si walimpatia yule M-brazil si wangemleta awakilishe taifa?
 
Img214556851.jpg

Naasi Fabiano Joseph(mwenye jezi ya njano, namba 2971 kifuani) katika lap za mwanzo akionekana kutoa upinzani. Shauri Samwel na 2975 nae hakuwa mbali
 
Back
Top Bottom