Usain Bolt glided to a new world record as he produced a stunning run in the Olympic 100m final. Bolt was well clear at 60m and although he eased down and started to celebrate 15 metres from the line he still set a new mark of 9.69 seconds.
Richard Thompson finished second while American Walter Dix came third but they were yards behind the Jamaican. "I wasn't worried about the world record. I didn't know it until I'd done my victory lap," Bolt told BBC Sport... ...
Tyson Gay ameshinwa kuingia katika fainali za mita mia....
Kheeeee heeeee heeeeee.. Tafsiri yako imekaa kisiasa zaidi!mkuu sasa hii ndo inaniaminisha kuwa hakuna dola isiyo na mwisho...
Kheeeee heeeee heeeeee.. Tafsiri yako imekaa kisiasa zaidi!
Nahisi walizidi kutumia madawa....
Kamanda,mkuu kibunango
sikushauri kuwacheka wanyamwezi eti kisa walitumia madawa na sasa hawafanyi vizuri.
madawa hayana mwenyewe sheikh...usishangae wakikurupushwa hao unaowaamini wakawa wanatumia madawa...isiyokuwasha hujailamba
Imesikitisha sana, walikuwa wakimbiaji 3 katika fainali, lakini kila mmoja alikimbia kivyake vyake, Ethopia, Eritrea na Kenya walionekana kama wana team work paleeBwana hao wa Ethiopia wanakimbia sana. Hakuna Medali yetu zote wamesha chukua labda marathon tarehe 24 Aug.
Imesikitisha sana, walikuwa wakimbiaji 3 katika fainali, lakini kila mmoja alikimbia kivyake vyake, Ethopia, Eritrea na Kenya walionekana kama wana team work pale
LOL! it wasn't even close.
Two of our guys put on a galant effort and looked like they were giving it thier all. The third guy was basically out of the race after the first three laps. Sad.