Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Tafuta mnajimu [emoji28][emoji28][emoji28] akusaidieEeehh...! Sikuwa nafahamu hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mnajimu [emoji28][emoji28][emoji28] akusaidieEeehh...! Sikuwa nafahamu hili.
No, namaanisha kuna Watu wanajisikia tu hiyo raha hata wakipenda bila kupendwa.
And that is why some people choose to love in silence, for in silence They find no rejection.Kulazimisha mapenzi ni kuumiza moyo
Na huwezi kuona tabasamu na furaha kwenye mapenzi ya namna hiyo.
Habari za usiku mteke wapendwa....
Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....
Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....
Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......
I can dance, sing for him and smile endlessly.....[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Yaani am overwhelmed.....
Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....
View attachment 1707761
The loved one....[emoji8]
View attachment 1707762
Hyper Kasie.... dancing old school songs ...[emoji6] all night long....[emoji3059][emoji3059][emoji7]
#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa ni mashoki shoki na tende nilizolishwa jana.....
Sukari ilizidi mwilini itakuwa.....
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Santeee naona ulizama kwenye dimbwi la mahaba, life is too short for depression kula bata iwezekanavyo, mpende akupendae asiekupenda achana nae
And that is why some people choose to love in silence, for in silence They find no rejection.
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Ooh nice, it’s a matter of choice.
Alina mie hapa lazima nipige tarumbeta na jaramba kila nipatapo mkunaji nikakunika haswaaa.
Nikiwa kimyaaa ujue chaliii....[emoji28]
Ongeza option ya mpango wa kando hapo tuone inakuwajeHabari za usiku mteke wapendwa....
Nimejizuia kuandika kwa lugha baba (ya kimalkia) ili nijieleze kinaga ubaga....
Iko hivi, mara zote nikiwa kwenye Mahaba mazito nakuwa na mshawasha kiasi kwamba najiona kabisa natoka nje ya vile nnavyo jifahamu....
Yaani kama niko eneo la wazi sioni aibu kumbusu mpenzi wangu, kumkumbatia, kucheka kwa sauti ya mahaba......
I can dance, sing for him and smile endlessly.....🥰🥰🥰
Yaani am overwhelmed.....
Ooh lugha ishahama, hapa najua mida imeenda, kesho ibadani ila niko kilingeni naichakaza dancing floor....
View attachment 1707761
The loved one....😘
View attachment 1707762
Hyper Kasie.... dancing old school songs ...😉 all night long....🥰🥰😍
#beinginlove wuuuuuuuuuuhhhhh....
Daah 🤣😁Habari za usiku mteke wapendwa....