Being Part Of The Solution: Mr.President Siku 100 Za Kwanza!

Being Part Of The Solution: Mr.President Siku 100 Za Kwanza!

Uenyekiti wa chama n urais inatakiwa vitenganishwe ili kuondoa comflict of Interest pia katiba nitakayowapa mambo kama mawaziri kuwa wabunge yatakoma,kimsingi ikiwezekana hata mfumo wa utawala utabadilishwa ingwa itakua ni long process but msingi wake utaundwa within 100 days!
 
1.SIKU 50 ZA MWANZO NI MATANGAZO, UHAMASISHAJI NA MAFUNZO YA NGUVU KUANZIA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI, VYUO, MAWIZARANI, KATIKA BUNGE, MAHAKAMA ZOTE, TAASISI, MITAANI NA VIJIJINI KOTE NCHI NZIMA JUU YA UWAJIBIKAJI, UZALENDO, HAKI NA UMUHIMU WA KUPIGA KURA NA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOFAA NA KUPINGA KWA NAMNA ZOTE UTOAJI NA UPOKEAJI WA RUSHWA.

2. KISHA NI MIMI KUJIUZURU NA KUITISHA UCHAGUZI MPYA SIKU YA 100.

Dhanio :
Itakuwa imekubalika kikatiba chini ya Tume huru ya Uchaguzi kuwa tukirudia uchaguzi tuwe tumepunguza sana idadi ya majimbo. Yaani kila Mkoa uwakilishwe na Wabunge wawili tu (Ke & Me) na ni watu wakufanya kweli Bungeni!

Na kutakuwa na punguzo kubwa pia la Wizara kwa kuunganisha Wizara zinazoweza kuwekwa pamoja.na kuimarisha 'appraisal, checks & balance mechanisms' za kuhakikisha uwajibikaji kwa kila Kiongozi na kila Mwananchi.

Baada ya siku 100 Serikali (maana naweza nisichaguliwe mimi) itaenda hatua kwa hatua katika kutekeleza agenda za maendeleo katika kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia, kiuchumi, kielimu, katika miundo mbinu na kijamii kwa ujumla.
 
- Mkuu Kibunago heshima sana, unajua siku zote huwa ninajiuliza sana hii point yako ya kushika power na kuvunja bunge mara moja kwa sababu wabunge karibu wote wamechaguliwa kwa njia zisizofaa, huwa ninaamini kwamba kwa Rais aliye serious namba one step ni kuvunja bunge na kuitisha uchaguzi mpya, lakini under katiba mpya sio ile ile ya chama kimoja tuliyonayo sasa,

- Kwa maoni yangu abaki Rais na makatibu wakuu wa wizara, mpaka uchaguzi mpya utakapofanyika believing kwamba sasa tutakua na bunge angalau safi kuliko tulilonalo sasa, I mean Rais anakosa moral authority ya uongozi pale anapokuwa na viongozi wengi marafiki zake aliotumia nao njia za mkato, sasa kama Rais yuko serious hapa kwenye uchaguzi mpya wa dharura ndio nafasi yake ya kwenda kule kwenye majimbo na kuwatosa, ingawa kuna wachache watakaopenyeza at that point Rais ana nguvu kubwa sana ya kuwatosa wabaki na ubunge tu!

- Realistically ni lazima Rais utafute a political solution ya marafiki zake waliomsaidia kupata power, hawezi kutumia nguvu na hawezi kuwafukuza tu, kwani Mwalimu hakuwa na marafiki mabomu lakini walimsaidia kushika power, mbona alikuwa anawa-sideline lakini alikuwa anawapa something, kuna wazee kama Mbowe, Bomani, na Rupia hawa aliwapa free pass ya kufanya biashara as they wanted lakini hawakuingia kwenye serikali wala biashara zao kuigusa serikali, kina Kisoky likes aliwapa u-RC tu that is a political solution on marafiki wa Rais.

- I mean ni maoni yangu tu, wengine mnasemaje na hii ihsu ya marafiki wa Rais maana huwezi kumhukumu Rais wa sasa bila kui-address hii ishu kwa kina huku ukiikubali kwamba ni reality na haikwepeki, ial ni lazima itafutiwe a political solution, maana otherwise hawa marafiki wanaweza kuishia kukutosa na wewe Rais pia, ishu ambayo inamuumiza sana kichwa Rais wa sasa!, maana hawa kina Lowassa wanaweza kumtosa hata yeye akicheza nao!

Respect.

FMEs!
 
1. Uteuzi wa wasaidizi (PM,Mawaziri,Directors,etc) utakaozingatia uwezo badala ya ushkaji.
2. Dhamira ya kubana matumizi yasiyo ya lazima
3. Matendo badala ya maneno.Si rahisi kusema matendo hayo yatahusu mambo gani kwa vile kila mgombea ana manifesto yake/ya chama chake.Kwahiyo basi,kinachohitajika ni tafsiri ya manifesto hiyo kwa vitendo badala ya maneno.
4.Utawala wa kisheria, ikiwa pamoja na kuweka kando ushkaji pale sheria inapopaswa kuchukua mkondo wake.
 
- Mkuu Mlalahoi heshima sana ndugu yangu, vipi kama Rais wa sasa unafanya nini na marafiki waliokufikisha hapo kwenye kiti? Maana ukicheza nao wanaweza kukutosa pia kama walivyokuweka?

Respect.

FMEs!
 
@FMES,
Katika kujibu swali la msingi la thread hii lazima tuwe na madhanio (assumptions) kadhaa maana tayari umetengeneza mazingira nadharia (hypothetical setting) ya sisi (kila mmoja hapa JF) kuwa na nafasi ya kuchaguliwa kuwa Rais.
Hivyo nami naweka dhanio la kukubalika kikatiba uvunjwaji wa Bunge & Serikali.

Pili, nadhani karibu Mawaziri wote( kamili) kabla ya kuteuliwa na Rais huwa ni Wabunge ambao TUMEWACHAGUA SISI. Hivyo kabla ya kuanza na lawama za sijui kuteua marafiki mbona hatuanzi na sisi kujilaumu kwa kumwekea Rais 'set' mbovu ambamo anatakiwa kuitoa hiyo 'subset' ya Mawaziri?
Katika yote ndiyo maana nadhani something serious is with us in the way we decide (vote) to get our leaders. Hivyo point yangu ya kwanza kabisa inalenga kuelimisha kuelekea mabadiliko ya kifikra na utambuzi juu ya maana ya haki ya kupiga kura. Kama ilivyokwisha semwa, Uongozi ni taswira ya jinsi sisi wenyewe tulivyo!
 
Ningekuwa mimi Rais ningefanya hivi.

1. Msamaha wa mafisadi na wafungwa wote.

2. tunaanza upya kwa kutangaza hali ya hatari.

3. Anayeshikwa kwa rushwa kwa video ama kwa udhibiti ulio wazi hakuna mahakama ni Risasi tu.
4.Mkataba wa migodi siuzi ama kuwadai kodi wawekazi bali nafanya hivi, mfano anayetaka mgodi wa geita jenga tujengee bandari ya kisasa mtwara,tanga na dar. anayetaka buzwag nijengee treni na reli za kasi kama za ujerumani niunganishie mikoa ya tanga,arusha,mwanza,shinyanga hadi mipakani burundi,kongo,rwanda na uganda. anayetaka Nzega mining nijengee Reli za kasi kuunganisha dar mtwara msumbinji,malawi,zambia. Na anayetaka Mwadui nitengenezee vyazo vya umeme vya uhakika .Anayetaka nyamongo nisambazie umeme nchi nzima na anayetaka mafuta ya zanzibar hakikisha unaweka infrastructure za Internet nchi nzima.

5. Naanzisha mashamba makubwa

6.Mvulana anayetia mimba msichana awe anatoa pesa ya matumizi elfu hamsini kila mwezi, kama hana serikali yangu itamlipa msichana huyo fedha hizo kila mwezi na mvulana huyo kupelekwa ktk mashamba hayo kupiga mzigo.

7.Bandari hizo zilizojengwa nitatoza ushuru wa chini kulinganisha nchi zote zinazotuzunguka.

8. Nitajitahidi kudhibiti wizi wa posta ili e-bussiness ipate kufanyika maana tutakuwa na mtandao hadi kijijini.
9.Atakaye taka mgodi wa uranium itabidi atujengee university kila mkoa ,university yenye kiwango cha kimataifa.

10.atakeyetaka mgodi wa gas itambidi awalipe ma polisi na ma lecturers mshahara

11. free working permit kwa ma-lecturer kutoka nchi yoyote duniani.

Hadi hapo nitakuwa nime create ajira milioni 20, kwa hiyo kodi tutapata kutoka kwa waajiriwa na kutumia miundo mbinu yetu.
 
- Duh! mkuu Mkamap, chonde chonde ndugu yangu kwa mishahara ilivyo hapa kwetu kwenye rushwa si utaua taifa zima, be realistic japo kidogo ndugu yangu, au unasemaje?

Respect.

FMEs!
 
- Duh! mkuu Mkamap, chonde chonde ndugu yangu kwa mishahara ilivyo hapa kwetu kwenye rushwa si utaua taifa zima, be realistic japo kidogo ndugu yangu, au unasemaje?

Respect.

FMEs!

Ndugu yangu
Nafikiri hiyo ndo reality,watu wanachukuwa rushwa si kwa sababu ya mshahara mdogo bali nikukosa uzalendo.

Sema nitarekebisha kitu kimoja, Tutaunda mbeki za mkopo wenye asilimia ndogo sana ,ili anayeona mshahara mdogo akakope huko. Ktk bank hizo itambidi tu kuonyesha ID yake ya anakofanya kazi na form iliyotiwa mhuri na mwajiri wake anachukua mkopo siku hiyohiyo.

Mkuu mshahara karibu duniani kote haitoshi. Ukiangalia hakuna watu wenye madeni kama wazungu,unamuona anakula good time pale mlimani kilimanjaro kumbe ana madeni zaidi ya bank 5. Nafikiri mshahara ungekuwa unatosha wasingekuwa na madeni namna hii.
 
Mkuu
FMEs
Unajuwa sie management ya fedha bado ni ngumu kweli kwetu.

Sasa kuna logic gani kuuza mgodi unakusanya pesa, unaenda ku table bajeti bungenu unatangaza tenda kwamba ya ujenzi wa barabara fulani.

Kwanini mtu usifanye mkato tu kwamba chukuwa mgodi huu nijengee reli za umeme za kasi, utakapotea wajenzi mie sijui ila nachotaka ni reli na mgodi huu hapa.

Ktk logic yangu hii ya comoniditi- 2- comoniditi wewe binafsi unaona inamapungufu wapi na kwanini?
 
Ndugu yangu
Nafikiri hiyo ndo reality,watu wanachukuwa rushwa si kwa sababu ya mshahara mdogo bali nikukosa uzalendo.

Sema nitarekebisha kitu kimoja, Tutaunda mbeki za mkopo wenye asilimia ndogo sana ,ili anayeona mshahara mdogo akakope huko. Ktk bank hizo itambidi tu kuonyesha ID yake ya anakofanya kazi na form iliyotiwa mhuri na mwajiri wake anachukua mkopo siku hiyohiyo.

Mkuu mshahara karibu duniani kote haitoshi.
Ukiangalia hakuna watu wenye madeni kama wazungu,unamuona anakula good time pale mlimani kilimanjaro kumbe ana madeni zaidi ya bank 5. Nafikiri mshahara ungekuwa unatosha wasingekuwa na madeni namna hii.

- Sawa sawa mkuu, lakini nchi kama US mtu anashindwa kuchukua rushwa kwa sababu anafikiria sana kupoteza pension yake ambayo ni bomba sana, kwa hiyo anaamua kukataa rushwa, sasa bongo ukikataa rushwa itakuwaje mkuu ningeelewa kama ingekuwepo alternative, au?

Respect.

FMEs!
 
Influence ya marafiki katika uongozi inatia dosari sana especially kwenye hii awamu ya nne. Kama mchangiaji mmoja alivyodokeza kuwa angeliweza kujiuzuru na kuvunja bunge baada ya siku 100 ili kuweka mazingira mapya ya namna ya kupata team yake ya uongozi, pengine hiyo inaweza kuwa njia mbadala ya kuwakimbia marafiki. Ila sasa kama marafiki wana nguvu kuliko wewe ukijiuzuru si wataweka mtu mwingine?
Na pengine mimi naona nafasi nyeti za utumishi wa umma sasa nazo Rais awe anapendekeza jina halafu bunge ndio liwe linathibitisha ili kuwe na system ya balance and check maana ilivyo Rais anaamua kumpa yoyote cheo bila kuulizwa huyu unayempa ni nani na atatoa mchango gani kwa Taifa, basing on his/her background.
 
- Sawa sawa mkuu, lakini nchi kama US mtu anashindwa kuchukua rushwa kwa sababu anafikiria sana kupoteza pension yake ambayo ni bomba sana, kwa hiyo anaamua kukataa rushwa, sasa bongo ukikataa rushwa itakuwaje mkuu ningeelewa kama ingekuwepo alternative, au?

Respect.

FMEs!

Ni kweli ,sasa inabidi ukiwa kiongozi wa juu uhakikishe kwamba konsikwensi za kuchukuwa rushwa na zaidi kuliko kuiacha hiyo rushwa.

Mishahara wakati wa Nyerere ilikuwa duni sana kulinganisha na leo hii, lakini kasi ya rushwa wakati huo ilikuwa ndogo kulinganisha leo hii.

Hiki kizazi kilivyo kwa sasa hata ukifanya kima cha chini milioni mbili rushwa bado watachukuwa.
 
Back
Top Bottom