Beka au Dogo aslay nani wa kuibeba Yamoto band?

Remote namkubali enockbella kishenzi...ile nyimbo yake ya mkuyu ilikuwa poa sana...!
Angejaribu hata kurap basi hata kidogo...kubadilisha radha...!
 
Unajua katika yamoto wakitoka mmoja mmoja lazma kuna watu watafloopy. Sasa aslay fresh, beka fresh. Naamini kati ya maromboso na enock bella mmoja atachemsha au wote wawili kiujumla
 
Unajua katika yamoto wakitoka mmoja mmoja lazma kuna watu watafloopy. Sasa aslay fresh, beka fresh. Naamini kati ya maromboso na enock bella mmoja atachemsha au wote wawili kiujumla

[emoji3], na Aslay anachoimba kinafanana kuanzia beat mpaka tone..vp lakini, umeiskia SIKINAI?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ni die hard fan
 
Unajua katika yamoto wakitoka mmoja mmoja lazma kuna watu watafloopy. Sasa aslay fresh, beka fresh. Naamini kati ya maromboso na enock bella mmoja atachemsha au wote wawili kiujumla

Ni kweli, hawawez kupenya wote' ila maromboso hata feli labda huyo Enock
 
MBONA MAROMBOSO ALIYESAINIA WCB HAMUMZUNGUMZII YULE NDIO FUNDI KULIKO WOTE MPAKA DAIMOND KAMSAINI LEBO YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…