Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.

Na wengine hasa mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote! Utani ulioje kwa magwiji wa soka kama Paolo Maldini ama Franz Backenbeur!


Sasa tumalize utata, Yupi ni beki wa kati ambaye unamkubali kwasasa duniani?
 
Labda kama Sergio Ramos anacheza Tennis
Huyo Ramos asingekuwa na ujinga wake wa kucheza rough za makusudi angekuwa bora sana. Ramos ni back ambae anaongoza kwa kadi nyingi zaidi iwe nyekundu au hata njano fuatilia.
Lakini VVD ni very smart anapiga mpira ambao hafanyi fouls za kijinga kama Ramos. BTW mie ni Man U lakini huo ndio ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani vigezo vya beki bora ni nini mkuu?
 

Unajifinya na kujitekenya mwenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…