Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.
Na wengine hasa mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote! Utani ulioje kwa magwiji wa soka kama Paolo Maldini ama Franz Backenbeur!
Sasa tumalize utata, Yupi ni beki wa kati ambaye unamkubali kwasasa duniani?