Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

Kwa Sasa Huyu muholanz VVD Hakuna wa kumfananisha nae yuko juu
 
Kwa Sasa Huyu muholanz VVD Hakuna wa kumfananisha nae yuko juu
 
Kepler Lima "animal" beast, Pepe himself the one who don't fear anybody, anything in the field. For more clarification ask top players like neymar, messi, muller and others they can confirm this undisputed truth

kote hakufai
 
Erasto Edward Nyoni
 
Aliyejiita The special one na kupenda kwake kukaba ameshasema Bunuchi na Chiellin wakafungue chuo wakafundishe mabeki kukaba.
 
Victor Costa Nyumba, mimi ni Yanga damu ila heshima kwa huyu jamaa. Alimpiga chenga beki mmoja Msumbiji kila mmoja alishika kichwa.
 
Vvd ni NTU na nusu,


'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Kwasasa hakuna ubishi kwamba Virgil van Dijk ndio beki bora wa kati duniani.

Kuhusu kuwa wa muda wote bado anahitaji muda ku prove hilo. Anahitaji kushinda mataji mengi kifikia level za kina Nesta, Maldini, Cannavaro, Ramos n.k
Ramos hajatimuza ata miaka 10 anacheza beki ya Kati amevamia fani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…