Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 675
- 1,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidal gan?
kote hakufai
Wa baselona mkuu
Ukiona hata wewe unabishana na mimi ujue nawe ni mbishi. Ndio kila mmoja anaamini anachokiamini. Kwanini wewe hutaki mie ninachokiamini. Wewe ni bogus tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mie ndio nilikudharau mapema sana. Nawaza hao akina Debora wanatabia gani kama mama yao ndio yupo hivi.Aisee, we jamaa ni bonge la fala. Nimekudharau sana.
Erasto Edward NyoniKumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.
Na wengine hasa mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote! Utani ulioje kwa magwiji wa soka kama Paolo Maldini ama Franz Backenbeur!
Sasa tumalize utata, Yupi ni beki wa kati ambaye unamkubali kwasasa duniani?View attachment 1061315
Aliyejiita The special one na kupenda kwake kukaba ameshasema Bunuchi na Chiellin wakafungue chuo wakafundishe mabeki kukaba.Kumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.
Na wengine hasa mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote! Utani ulioje kwa magwiji wa soka kama Paolo Maldini ama Franz Backenbeur!
Sasa tumalize utata, Yupi ni beki wa kati ambaye unamkubali kwasasa duniani?View attachment 1061315
Victor Costa Nyumba, mimi ni Yanga damu ila heshima kwa huyu jamaa. Alimpiga chenga beki mmoja Msumbiji kila mmoja alishika kichwa.Kumekuwa na mijadala ya hapa na pale kuwa beki wa kati wa Liverpool na timu ya taifa ya Uholanzi, Virgil Van Dijk (VVD) ndiye beki bora wa kati kwasasa Duniani.
Na wengine hasa mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote! Utani ulioje kwa magwiji wa soka kama Paolo Maldini ama Franz Backenbeur!
Sasa tumalize utata, Yupi ni beki wa kati ambaye unamkubali kwasasa duniani?View attachment 1061315
Partnership yao na pique naielewaga sana pale nyuma kunakuwaga solid balaa, hivi hua anacheza nne, tano au zote kwa pamojaArtulo vidal
#Mama Debora mbona umeongea kiume hivyoAisee, we jamaa ni bonge la fala. Nimekudharau sana.
Ramos hajatimuza ata miaka 10 anacheza beki ya Kati amevamia fani tuKwasasa hakuna ubishi kwamba Virgil van Dijk ndio beki bora wa kati duniani.
Kuhusu kuwa wa muda wote bado anahitaji muda ku prove hilo. Anahitaji kushinda mataji mengi kifikia level za kina Nesta, Maldini, Cannavaro, Ramos n.k